Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Uwiiiii, sasa wewe hapa tunajenga au tunabomoa?

Mwache Rapue alie in anger, afu baby come back Lambogini ndio ajiongeze hadi kachanga.

Ohooooo!!!! Kumbe jamaa katuingiza chaka sasa!!!
Kama vipi bibie elezea kwa upande wako ili tuweze kuunganisha mashtaka vizuri basi!!! Maana..
 
Ila najiuliza mleta mada ana maslahi gani mpk sredi yake inawekwa sticky!
Ahahahahahahahaha Konnie hii kesi inazidi kuwa kubwa ujuee!
 
Uwiiiii, sasa wewe hapa tunajenga au tunabomoa?

Mwache Rapue alie in anger, afu baby come back Lambogini ndio ajiongeze hadi kachanga.

Sina maana ya kubomoa Kongosho ila inavyoonekana kuna mengi ambayo hatuyajui na ili hii ishu iweze kuwa solved inabidi ya wote wafunguke ili tujue jinsi gani ya kusolve ishu yao!! naomba usinielewe vibaya...
 
Hivi why unampa mchepuko 10m afu unakutosa tena nchi ya ugenini?

Kwa mujibu wa Kongosho hiyo ni bajeti ya baby walker moja na robo hivi.

Halafu kana kwamba haitoshi unataka ile baby come back huku ukiwa "on a bended knee"

Hivi kwani hukufunzwa dalili za mwanamke asiyekutaka akikuchoka anafanyaje?

Halafu hujanambiaga kama part time una ID hii hapa

Ndo ivo sredi liko sticky maana apa keshakuja snowhite Munkari King'asti bado Dinazarde hajastukizia tu

Ndo tunajadili apa hii haki kweli?:what::what:

kwa mujibu wa kanuni za chama, huyu mzembe hafai hata kufagia ofisi ya mesenja wala kudeki choo cha wanawake....

Mwalimu wetu snowhite leo hajaja darasani, yawezekana akawa kwenye kitchen party ya huyu mwenye bahati ya 10m?
 
Last edited by a moderator:
We fanya bas nlivokwambia niendelee!
Kwani kumfumania bar na rum ni issue?
Lamborghini mi hata nikikikufumania kiunoni poa tu!.
Ahahahahahahahahaha watu mnafurahisha nyiiiie!

Tatizo mwanamke akijua kutafuta hela anakuwa na kiburi sijuhi ? but anyway nimemuhuliza swali anijibu nivunje huu mjadala
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
kwa mujibu wa kanuni za chama, huyu mzembe hafai hata kufagia ofisi ya mesenja wala kudeki choo cha wanawake....

Mwalimu wetu snowhite leo hajaja darasani, yawezekana akawa kwenye kitchen party ya huyu mwenye bahati ya 10m?

Na ndio maana nimetumia I'd hii kwa ajili yenu watu Kama nyie
 
Last edited by a moderator:
Hivi ujue wanamme huwa wanapata 'sexual fantasy attacks' hasa wakivuka mipaka ya TZ tu? Hujawahi safiri kikazi na workmates watu wazima na heshima zao kufika huko kila mmoja anapractice 4some?

Kama hukumkuta kawapandia kifuani(God forbid, hiyo ndio kitu naogopa sana in my life and after life), msamehe, kwa masharti nafuu, labda probation ya miezi 6.

I know it hurts. ..but nimeyavumilia mengi ya huyu jamaa na yeye kaongopa sikumfuma na hao wanawake bar ilikuwa kwenye room yake mi sio chizi nianze kurusha makonde bar
 
nakufa mbavu!
wewe concern yako ni hiyo tu 10 mil? wakati shori anafuatwa kila nchi anayoenda?

Mtoa mada, kichanga ntamuachia AshaDii alelee na kakake, kama Rapunzel anakuzingua njoo kwanguuuuuu, ngwisaaaaaaa utachotaka ntakupaaa hehehehe.

cc snowhite, kwa taarifa

hahahahaa umenikumbusha mbali na hako kawimbo lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom