Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

Kabla ya kufkia swal lako andiko unaloliongelea hapa ni kutoka 8:15
sasa kabla ya kufka huko soma kutoka 3:19 Mungu aljua kabisaa kuwa Farao hatakubal bila kutumia nguvu.

Kwanza kabisa unatakiwa kjua kwamba Farao alkuwa anaabudu miungu mingne.
Na ndo maana Mungu alpomtuma Musa akaonyeshe ule muujza wa Fimbo na Farao akawaita Waloz nao wakaonyesha muujza kama Ambao Mungu almtuma Musa,
Mpaka hapo unapata kujua kuwa Farao alkuwa Mpinga Mungu na unaposoma Ktoka 5:2 unaonyesha jinsi ambavyo hakumjua Mungubwa Kwel.

kwa Hyo kumbe Mungu almradhimisha Farao Amjue.
 
Mungu hufanya kama apendavyo, hatuwezi muhoji kwanini alimpenda Yaboko na kumchukia Esau,hufanya apendavyo. Japo Mungu hujua mwisho wa mtu, mwisho wa Farao ulikuwa ni mmbaya, na ndio maana Mungu aliamua kumtumia Farao. Farao ndio alivyokuwa hivyo na ndio maana akamtumia na ili kuongeza makali akafanya na moyo wake kuwa mgumu zaidi. Ni kama Sauli alivyo zingua Mungu akaruhusu roho ya utaabishaji . Inshort Mambo yana ongozwa na kanuni. Mungu kaweka kama katiba, ukivunja hii katiba unapata hili, kwa mfano ukiwa mzini ukipata ukimwi, si Mungu ila umevunja kanuni
waefeso 1:11 All things are done according to God's plan and decision; and God chose us to be his own people in union with Christ because of his own purpose, based on what he had decided from the very beginning.

be sincere hivi kuna freewill mpaka hapo?
 
Mimi ni Mkristo Mkatoliki na napenda sana dini yangu. Ila zaidi napenda sana kujifunza hasa pale ambapo panakua na ugumu ama mkanganyiko.
Narudia tena, nitaomba mnisamehe kama nakosea ila nina swali nahitaji kufahamishwa.

Tunaambiwa kwenye Biblia kwamba Mungu alimtuna Musa(Moses) akawakomboe wana wa Israel kutoka mikono ya Farao(Pharaoh) na akampa maelekezo namna ya kufanya ili Farao aweze kumuelewa. Lakini Mungu pia akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu asikubaliane na ujumbe wa Musa. Sasa swali langu ni kwamba, Je? Mungu alikua anatafuta sababu ya kumuangamiza Farao? Maana pengine asingefanya moyo wa Farao kua mgumu, pengine Farao angekubali tu kwamba sawa enendeni maana Mungu wenu amewataka muende nchi ya ahadi.

Tunaambiwa Mungu wetu anaruhusu Free Will yaani Ruksa ya kufanya maamuzi mwenyewe, je mbona aliingia maamuzi ya Farao? Mbona aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu?
Mungu ni wa wote sasa kwa nini farao na watu wengine waonekane daraja la chini,
Kwani washika dini ni masikini.
Je hakuna wajanja walitumia hii elimu kwa ajili ya kujinufaisha
 
Kabla ya kufkia swal lako andiko unaloliongelea hapa ni kutoka 8:15
sasa kabla ya kufka huko soma kutoka 3:19 Mungu aljua kabisaa kuwa Farao hatakubal bila kutumia nguvu.

Kwanza kabisa unatakiwa kjua kwamba Farao alkuwa anaabudu miungu mingne.
Na ndo maana Mungu alpomtuma Musa akaonyeshe ule muujza wa Fimbo na Farao akawaita Waloz nao wakaonyesha muujza kama Ambao Mungu almtuma Musa,
Mpaka hapo unapata kujua kuwa Farao alkuwa Mpinga Mungu na unaposoma Ktoka 5:2 unaonyesha jinsi ambavyo hakumjua Mungubwa Kwel.

kwa Hyo kumbe Mungu almradhimisha Farao Amjue.
Kwa nini Mungu aruhusu miungu mingine ndani ya himaya yake, ili I haribu kazi ya mikono yake
 
waefeso 1:11 All things are done according to God's plan and decision; and God chose us to be his own people in union with Christ because of his own purpose, based on what he had decided from the very beginning.

be sincere hivi kuna freewill mpaka hapo?
Free will unaijelewaje na unaelewa vipi Mipango ya Mungu ?
 
waefeso 1:11 All things are done according to God's plan and decision; and God chose us to be his own people in union with Christ because of his own purpose, based on what he had decided from the very beginning.

be sincere hivi kuna freewill mpaka hapo?
Ukitaka kukamilisha jambo lako, utahitaji watu wenye wasifu tofauti tofauti au sio ?
 
So unataka kusema Mungu aliishiwa mbinu?

Unawaongeleaje wale watoto wa kwanza kwa kila familia aliowaangamiza Mungu kwa ajili ya ku catch feelings za farao?
Mshahara wa dhambi ni mauti, acha dhambi umauti usikufike. Dhambi ya mzazi inaweza asirili kizazi na kizazi, hiyo ni kanuni ya kiroho na ipo, ni swala la kuchagua tu, na ndio maana Mungu ameweka mbele zetu baraka na laana, chaguzi ni yako na kaisha tupa nguvu ya kuchagua
 
Mkuu tuachane na habari za farao.....

Kuna huyu mwamba wa kuitwa yuda iskarioti.

Biblia inaweka wazi kuwa kifo cha yesu kingetokana na yeye kusalitiwa na moja ya watu wake wa karibu. Kwa maana hiyo, hata yuda hajazaliwa ilikuwa ishajulikana kuwa angemsaliti yesu.

Sasa swali linakuja, je, wakati yuda anamsaliti yesu alikuwa na free will?
au yuda alikuwa na freewill ya kuchagua kutomsaliti yesu?
 
Tafuta kazi jiweke busy mkuu una tatizo la overthinking kaka,anza na kusoma vitabu vya self development.
Hili ni tatizo kwabwa sana ktk jamii, kama unataka kuwa kiongozi wa dini jikite kwenye dini na viongozi wa dini, na kama unataka kutafuta maisha soma vitabu vya waliofanikiwa, na ungana na waliofanikiwa. chagua moja na usichanganye utabaki Katikati na muda unakuacha.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti, acha dhambi umauti usikufike. Dhambi ya mzazi inaweza asirili kizazi na kizazi, hiyo ni kanuni ya kiroho na ipo, ni swala la kuchagua tu, na ndio maana Mungu ameweka mbele zetu baraka na laana, chaguzi ni yako na kaisha tupa nguvu ya kuchagua
watoto wadogo wa kwanza kila familia waliokufa kwenye mapigo kumi ya mungu walikuwa na dhambi gani?
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Mimi ni Mkristo Mkatoliki na napenda sana dini yangu. Ila zaidi napenda sana kujifunza hasa pale ambapo panakua na ugumu ama mkanganyiko.
Narudia tena, nitaomba mnisamehe kama nakosea ila nina swali nahitaji kufahamishwa.

Tunaambiwa kwenye Biblia kwamba Mungu alimtuna Musa(Moses) akawakomboe wana wa Israel kutoka mikono ya Farao(Pharaoh) na akampa maelekezo namna ya kufanya ili Farao aweze kumuelewa. Lakini Mungu pia akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu asikubaliane na ujumbe wa Musa. Sasa swali langu ni kwamba, Je? Mungu alikua anatafuta sababu ya kumuangamiza Farao? Maana pengine asingefanya moyo wa Farao kua mgumu, pengine Farao angekubali tu kwamba sawa enendeni maana Mungu wenu amewataka muende nchi ya ahadi.

Tunaambiwa Mungu wetu anaruhusu Free Will yaani Ruksa ya kufanya maamuzi mwenyewe, je mbona aliingia maamuzi ya Farao? Mbona aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu?
Kuna mambo yanafanyika kwenye ulimwengu wa roho hayana logic, lakini yako sahihi na mengine yana logic, lakini hayako sahihi. Mojawapo ya mabo yasiyokuwa na logic na yako sahihi ni kama vile miujiza. Soma hapa chini Kutoka 4

BWANA akamwambia, Ni nini hiyo uliyo nayo mkononi mwako? Akasema, Ni fimbo. Akamwambia, Itupe chini; akaitupa chini, nayo ikawa nyoka; Musa akakimbia mbele yake.

BWANA akamwambia Musa, Nyosha mkono wako, kamshike mkia; (akaunyosha mkono wake akamshika, naye akageuka kuwa fimbo mkononi mwake;) ili kwamba wapate kusadiki ya kwamba BWANA, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amekutokea.

BWANA akamwambia tena, Sasa tia mkono wako kifuani mwako. Akautia mkono wake kifuani mwake; naye alipoutoa, kumbe! Mkono wake ulikuwa una ukoma, umekuwa mweupe kama theluji. Akasema, Tia mkono wako kifuani mwako tena. Akautia mkono wake kifuani mwake tena, na alipoutoa kifuani mwake, kumbe! Umerudia hali ya mwili wake. Basi itakuwa, wasipokusadiki, wala kuisikiliza sauti ya ishara ya kwanza, wataisikiliza sauti ya ishara ya pili. Kisha itakuwa wasipoamini hata ishara hizo mbili, wala kuisikiliza sauti yako, basi, yatwae maji ya mtoni uyamwage juu ya nchi kavu, na yale maji uyatwaayo mtoni yatakuwa damu juu ya nchi kavu.
 
Mkuu,Mimi natumia maneno makali kwa sababu moja tu nataka ujiulize je ni FREE WILL YANGU au ni MUNGU ananiongoza nitumie hayo maneno makali.

Kuhusu Mwamba YUDA nataka ujue hili YUDA alikuwa mshika fedha wa timu ya YESU na mitume wake.Yesu alifahamu tabia ya YUDA ya kupenda pesa na tamaa.Watu wenye tamaa ya PESA ni rahisi sana kushawishiwa.So yuda kumsaliti yesu was HIS OWN FREE WILL alopewa na MUNGU ili ATIMIZE KILE KILICHOANDIKWA.Kama angetubu na kubadilika basi namna nyingine ingekuwepo ili ukombozi utimie.JUDAS had a CHOICE and he MADE his CHOICES.
Sisi wengine tutasema hayo maneno makali ni yako kwasababu freewill ni hadithi tu

Ila linapokuja swala la kujadili hilo jambo kwa muktadha wa mafundisho tunalijadili kwa mujibu ambavyo limeelezewa lakini haimaanishi kwamba jambo hilo ni kweli kihalisia

Ni kama ambavyo tunavyoweza kujadili habari za panya mabaka aliyemfunga paka kengele halafu akatokea mtu akasema panya aliyemvisha paka kengele alikuwa panya buku. Tutampinga kua sio panya buku kwa muktadha wa hadithi ilivyoandikwa lakini hiyo haimaanishi tukio hilo liliwahi kutokea kweli
 
Mungu alifanya moyo wa kijana Farao ili ishara zake ziwe nyingi kwa wana wa Israel, ili wapate kumumini Mungu katika uwezo na ishara zake, kwasababu Mungu alijua ambayo watakuna nayo wana Israel huko mbeleni. Kwa zile ishara ilikuwa kuwahengea kujiamini kwamba wane Mungu, na ndio maana utaona kuna baadhi ya nchi ( jamii ) waliposikia jamaa wanapita walikuwa wakinyaa kwasababu walisikia yale ambayo Mungu aliwatenda wa Misri. Ila angepiga tukio moja tu, Israel kuamini kwao kulikuwa tia maji tia maji
Bila shaka hili ni moja ya majibu sahihi kabisa..
 
Swali lako linazaa swali lingine je ni kwanini Mungu pia alimuachia Yesu mwanae apitie mateso ambayo pia angeweza kumuepusha...

Tunarudi kuwenye hoja ya kibiblia njia zetu sio kama njia zake Mungu baba
ngoja tu assume tukio la yesu kutesa lilifanyika kweli

Je unafikiri hakuna watu waliopitia mateso ya kikatili zaidi yake?

Kwanini tukio la yesu kuteswa liwe special sana as if hakuna mwingine aliyewahi ku face mateso zaidi ya hayo?
 
Kwenye imani zetu hizi ili kuweza kumuelewa Mungu kupitia maandiko kisawasawa kuna umuhimu wa kusoma vizuri, kuelewa na kupata muda wa kutafakari.

Mimi ninavyoelewa ni kwamba Mungu aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili aendeleze ubishi kwa taifa la Israeli aishie kupewa mapigo kupitia Musa

Ni kama pale Mungu alipomwachia mnadhiri wake Samsoni kwenda kumuoa Delilah mfilisti huku akijua yatakayotokea mbeleni. Ukisoma biblia utaona kuna sehemu Samson aliambiwa asimuoe mfilisti yule Delilah, ila ukweli ni hawakujua kwamba "Wazazi wake hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti. Wakati huo, Wafilisti waliwatawala Waisraeli" Waamuzi 14:4

Hicho kidogo ndio mimi nnachokielewa officialBossmtoto ila pia sipendi sana hizi maada za imani sababu naamini mimi sijabobea
Kumbe Mungu wenu ni muuaji kiasi hiki... Anafikia hatua ya kutengeneza sababu ili akuadhibu tu...? Yani Mungu wenu anatesa kiasi hicho. Poleni!
 
Back
Top Bottom