Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

A mans thinking capabilities are measured by the way he stand/support/argue his point/vision. Asante kwa kutuonyesha uwezo wako wa kufikiri. Ukisoma majibizano yote tangu mwanzo mpaka hapa wewe ndo wa kwanza kuleta lugha ya makasiriko na kebehi. Nadhani uneshajua mounbavu ni nani.
Mkuu,lengo langu lilikuwa ni kutaka tufike hapa,Je unafikiri hayo maneno machafu ya kbehi niliyotumia kukujibu ni MUNGU amenfanya ni yatumie?Kwa mujibu wa JIBU lako ni kwamba mtu huamua mwenyewe kwa utashi wake yaani FREE WILL.I close my argument
 
Alitaka kujidhihirisha kwa Pharaoh kuwa yeye ni Mungu.

Huyo Pharaoh umemsoma vizuri ukatili wake?

[emoji3525] Pharao ni katili amefanya nini kibaya sana kuwa katili? Yupo alietuma wanajeshi na akawaagiza wauwe na kuteketeza vijiji, wasiache hata mtoto mmoja wala mzee wala mwanamke mjamzito. Je huyo si katili? Je Farao ni katili zaidi?
 
Umeongea maneno mengi ila hujajibu swali...
Biblia inasema MUNGU aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu au aliruhusu moyo wa farao kuwa mgumu? Tuanzie hapo kwanza.
Na Mungu ndie aliyeufanya uwe Mgumu kwani ndie alimpa uwezo wa kuchagua ama awe na moyo mgumu au moyo laini.
 
Hiyo Free will ya mtu ndio ilichagua kuwa gaidi sasa.
Mkuu tuachane na habari za farao.....

Kuna huyu mwamba wa kuitwa yuda iskarioti.

Biblia inaweka wazi kuwa kifo cha yesu kingetokana na yeye kusalitiwa na moja ya watu wake wa karibu. Kwa maana hiyo, hata yuda hajazaliwa ilikuwa ishajulikana kuwa angemsaliti yesu.

Sasa swali linakuja, je, wakati yuda anamsaliti yesu alikuwa na free will?
 
Unawezaje kusema nina uhuru wakati Mungu anaweza kuamua niwe mbakaji ili nifungwe jela kwa manufaa ya watu anaowataka yeye?
Kinachoa amua wewe kubaka sio Free will yako, na sio Mungu. Kinacho amua wewe kubaka ni spirit iliyo nyuma yako, kama una Roho wa Mungu huwezk kubaka, na kama una roho wa shetani anakushawishi ukapige mikasi kwa nguvu nguvu hadi kwa mpalange.
 
Mkuu,lengo langu lilikuwa ni kutaka tufike hapa,Je unafikiri hayo maneno machafu ya kbehi niliyotumia kukujibu ni MUNGU amenfanya ni yatumie?Kwa mujibu wa JIBU lako ni kwamba mtu huamua mwenyewe kwa utashi wake yaani FREE WILL.I close my argument

Clearly wewe huelewi tunachosema hapa. Bible imeandika naye akaujaza ugumu moyo wa farao. This means he made Farao say No.
 
Huwa napata shida sana kufanya mijadala na watu ambao hawapendi/hawawezi kujibu hoja moja kwa moja. Hebu mkuu, eleza biblia inaposema Mungu aliufanya moyo wa farao uwe mgumu inamaanisha nini?
Inaamanisha yeye ndio aliyempa FARAO uhuru wa kuchagua ama awaachie au awang'ang'anie na Farao akachagua Kuwazuia.Mbona hii kitu rahisi sana?FREE WILL IS FREE WILL hata kama Farao angewaachia kwa urahisi bado angekuwa ametumia FREE will.Umenielewa hapo?Kwani wewe unapoweka hilia andiko hapa na kubishana ni Mungu amekufanya uje kuandika utopolo na kuonyesha ujinga wako mbele za watu ili wakuchore na kukucheka kisha wakuone mpumbavu kuliko wapumbavu wote?
 
Kinachoa amua wewe kubaka sio Free will yako, na sio Mungu. Kinacho amua wewe kubaka ni spirit iliyo nyuma yako, kama una Roho wa Mungu huwezk kubaka, na kama una roho wa shetani anakushawishi ukapige mikasi kwa nguvu nguvu hadi kwa mpalange.
So hio inakuwa sio Free will sio au ni excuse tu?Unafikir hio roho inaokotwa tu au inakua ni matokea ya certain choices in your life.
 
Mkuu tuachane na habari za farao.....

Kuna huyu mwamba wa kuitwa yuda iskarioti.

Biblia inaweka wazi kuwa kifo cha yesu kingetokana na yeye kusalitiwa na moja ya watu wake wa karibu. Kwa maana hiyo, hata yuda hajazaliwa ilikuwa ishajulikana kuwa angemsaliti yesu.

Sasa swali linakuja, je, wakati yuda anamsaliti yesu alikuwa na free will?
Ipo hivi, Mungu au hata wewe unapokuwa unataka kufanya jambo flani, unakuwa unajua hapa nahitaji mtu mwenye Mwenye degree A au B. Ili plani yako ikamilike, utaomba CV za wahusika wa ku play hizo part. Kwaiyo hata Mungu alipokuwa amemtoa Yesu Kristo, ili kutimiza kazi yakez alimtafutia watu wa kutimiza hiyo kazi kutokana na wasifu wa watu husika.. so yuda toka kitambo ni mtu mwivi na msariti ila alihitajika katika hiyo kazi kwasababu mwisho wa siku ulipofika wakati hata Yesu mwenyewe ilibi aruhusu sasa ile roho ya usaliti imanifest ili kazie itendeke na mda huo huo kweli jamaa akenda sariti,
 
Clearly wewe huelewi tunachosema hapa. Bible imeandika naye akaujaza ugumu moyo wa farao. This means he made Farao say No.
My Friend so Unafikiri kwamba Farao alikuwa akitaka kusema ndio Mungu anamwambia sema Hapana?Mungu anakufanya wewe uwe mgumu kuelewa hili ili uendelee kubishana na ujikuta unakufuru na kumtendea dhambi je ni kweli?
 
Ipo hivi; mtu unapomkurubia Mungu ndipo na yeye anapokukurubia zaidi ya wewe ulivyomkurubia, kwa maneno Mengine Mungu anatia nuru na upendo wake ndani ya roho yako na msaada wake na baraka zake zinamiminika juu yako na moyo wako unakuwa laini.

Kwa mtu muovu hayo yote yanakuwa ni kinyume chake yaani mtu muovu laana ya Mungu humshukia, laana ya Mungu ikikushukia roho yako inakuwa ngumu.

Laana ni kinyume cha baraka, Laana ya Mungu ndiyo iliyoifanya roho (moyo) wa Firauni kuwa mgumu na hiyo ndiyo maana ya kusema Mungu aliufanya moyo wa Firauni kuwa mgumu.


It is the matter of cause and action into play.
 
Inaamanisha yeye ndio aliyempa FARAO uhuru wa kuchagua ama awaachie au awang'ang'anie na Farao akachagua Kuwazuia.Mbona hii kitu rahisi sana?FREE WILL IS FREE WILL hata kama Farao angewaachia kwa urahisi bado angekuwa ametumia FREE will.Umenielewa hapo?Kwani wewe unapoweka hilia andiko hapa na kubishana ni Mungu amekufanya uje kuandika utopolo na kuonyesha ujinga wako mbele za watu ili wakuchore na kukucheka kisha wakuone mpumbavu kuliko wapumbavu wote?
Hili ni kitu kingine nisichokipenda kutoka kwenu watu wa dini. Huwa hampendi kujenga hoja baki kejeli na vitisho.

Mkuu tuachane na habari za farao.....



Kuna huyu mwamba wa kuitwa yuda iskarioti.



Biblia inaweka wazi kuwa kifo cha yesu kingetokana na yeye kusalitiwa na moja ya watu wake wa karibu. Kwa maana hiyo, hata yuda hajazaliwa ilikuwa ishajulikana kuwa angemsaliti yesu.



Sasa swali linakuja, je, wakati yuda anamsaliti yesu alikuwa na free will?
 
Na Mungu ndie aliyeufanya uwe Mgumu kwani ndie alimpa uwezo wa kuchagua.
Unafikiri binadamu ana uwezo na maamuzi ya kukiuka mapenzi ya Mungu kwamba Mungu aufanye moyo kuwa mgumu kisha binadamu achague tofauti na mapenzi yake?
 
Ipo hivi, Mungu au hata wewe unapokuwa unataka kufanya jambo flani, unakuwa unajua hapa nahitaji mtu mwenye Mwenye degree A au B. Ili plani yako ikamilike, utaomba CV za wahusika wa ku play hizo part. Kwaiyo hata Mungu alipokuwa amemtoa Yesu Kristo, ili kutimiza kazi yakez alimtafutia watu wa kutimiza hiyo kazi kutokana na wasifu wa watu husika.. so yuda toka kitambo ni mtu mwivi na msariti ila alihitajika katika hiyo kazi kwasababu mwisho wa siku ulipofika wakati hata Yesu mwenyewe ilibi aruhusu sasa ile roho ya usaliti imanifest ili kazie itendeke na mda huo huo kweli jamaa akenda sariti,
Mkuu, mimi nataka jibu fupi tu. Je, alikiwa na free will au alikuwa hana. Na je kumsaliti yesu alitenda dhambi au lah!
 
So hio inakuwa sio Free will sio au ni excuse tu?Unafikir hio roho inaokotwa tu au inakua ni matokea ya certain choices in your life.
roho ( Evil spirit - Devil na agents wake ), inataibia ya ku control mtu, na sio wa Roho wa Mungu. Roho Mungu anakuacha uwe na free will yako.
 
Angalia sana unachoandika, hata hivyo vidole vilivyotumika kutype ujumbe wako ni Mungu amekupa uwezo. Kama huna mchango wa kuchangia nyamaza au pita bila comment. Usije ukapitia magumu zaidi kwa kuamini yaliyoandikwa katika historia ya Mungu na watu wake ni mauzauza. Be humble hata pumzi unayoitumia na mapigo ya moyo wako siyo mauza uza ni uumbaji ambao yupo aliyeumba na huyo ndiye Mungu. Umepata wapi ujasiri wa kusema ni mauzauza mambo yahusuyo Mungu?
Hivi unawaza kwa kutumia nini? Upo mzima kweli?
 
Mkuu, mimi nataka jibu fupi tu. Je, alikiwa na free will au alikuwa hana. Na je kumsaliti yesu alitenda dhambi au lah!
Haikuwa Free kwasababu alikuwa under control ya evil spirit. Kumpa shetani nafsi yako haikutoi kwenye kutenda dhambi. Kijana Yuda alitenda dhambi, na hata shetani alipokaa pembeni Yuda alirudisha mpunga na kuanza kujutia sasa, na hatimae akajiweka kitanzi
 
This is a tip of what i am thinking of tayari umesema na overthinking. If i let you know all of what i am thinking off you will wonder off the desert.
Mungu anapendelea kwanini amekufanya uwandike kingereza kama hiki ikiwa mimi sijui
 
Back
Top Bottom