Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

mimi mpaka leo sijapata jibu kwamba Mungu ana upendeleo au kwake wote sawa
Kama umeona wengine wakizaliwa vilema na wengine wazima, basi utakuwa umepata jibu.

Achilia mbali pengo lililopo hapa duniani kati ya wenye nacho na wasio nacho...
 
Firaun aliamua kuwa mwenyewe mkaidi.
Alipewa chaguo.kumkubali mungu au kumkataa.akatumia mitume musa na haruni lakini nao aliwakataa.moyo wake ulishakuwa mgumu sababu ya KIBRI na majivuno.akapelekewa kila aina ya mitihani ili HAAMINI LAKINI WAPI.
 
Mungu alifanya moyo wa kijana Farao ili ishara zake ziwe nyingi kwa wana wa Israel, ili wapate kumumini Mungu katika uwezo na ishara zake, kwasababu Mungu alijua ambayo watakuna nayo wana Israel huko mbeleni. Kwa zile ishara ilikuwa kuwahengea kujiamini kwamba wane Mungu, na ndio maana utaona kuna baadhi ya nchi ( jamii ) waliposikia jamaa wanapita walikuwa wakinyaa kwasababu walisikia yale ambayo Mungu aliwatenda wa Misri. Ila angepiga tukio moja tu, Israel kuamini kwao kulikuwa tia maji tia maji
Hana plan B nje ya kuwatesa wanadamu anaojinasibu kuwa anawapenda?
 
Mkuu,Nimejibu vizuri,Hata wewe umepewa uhuru wakuamua kuwa na Moyo Mgumu au kuwa Moyo Laini na kuadhibiwa.Na Farao Vivyo hivyo.YEYE ALICHAGUA KUWA NA MOYO MGUMU.
Nikuulize swali je unadhani Mungu pekee alishindwa kumtoa pumzi farao na watu wake kuwapeleka bila mikimiki

Wazeni nje ya box mtagundua kwenye maisha ya kawaida, wanadamu tunavyoishi sio kwamba Mungu hataki kutupa mahitaji yetu kwa wakati huo tunapomuomba but He let you to put your all efforts through it...
 
Kwa hio huo uwezo wa kuwa na Moyo Mgumu farao alijipa mwenyewe sio.Kauli inathibitisha kwamba sina kichwa kwa hio naongozwa na Mungu au Shetani kuandika haya?Ila kama nina kichwa basi niko sahihi kusema kwamba FARAO aliamua mwenyewe kwa utashi wake.
Hii comment yako bado inaonesha hutumii kichwa kufikiri!
Maandiko unayoyatetea yanasema Mungu ndio aliyeufanya moyo wa farao kuwa mgumu. Wewe wasema ni utashi wa farao 🤔
 
Na ndiyo maana katika Maandiko kwenye vitabu vitakatifu Mungu anasisitiza kuwa na asiyefanya kazi na asile Mungu anataka mtu anaetia bidii kupata ukombozi wa jambo fulani
 
Nikuulize swali je unadhani Mungu pekee alishindwa kumtoa pumzi farao na watu wake kuwapeleka bila mikimiki

Wazeni nje ya box mtagundua kwenye maisha ya kawaida, wanadamu tunavyoishi sio kwamba Mungu hataki kutupa mahitaji yetu kwa wakati huo tunapomuomba but He let you to put your all efforts through it...
Amtoe Pumzi ili nini?
 
Hii comment yako bado inaonesha hutumii kichwa kufikiri!
Maandiko unayoyatetea yanasema Mungu ndio aliyeufanya moyo wa farao kuwa mgumu. Wewe wasema ni utashi wa farao 🤔
Utashi wa farao alipewa na Mungu kwani Aliumbwa na Mungu.Sasa sijui logic hupati hapo?
 
Utashi wa farao alipewa na Mungu kwani Aliumbwa na Mungu.Sasa sijui logic hupati hapo?
Sasa kama alimpa huo utashi ilikuwaje akaja kuuingilia utashi huo? Huoni huyo Mungu anajitekenya na kucheka mwenyewe?
 
Mungu angeliweza kuwatoa wana wa Israel bila hata kumtumia Mussa angeliweza kuwapofusha wamisri na kuwahamisha wana wa Israel ila alichagua kutumia njia za kawaida ili Wauone ukuu wa Mungu.

can you imagine kutoka Misri kwenda Caanan walitumia miaka 40 wakizunguka jangwani. wakati kiuhalisia kwa umbali ule wangeweza kutumia hata wiki tu kufika??
 
Sa awapaishe ili nini?Ili kuonesha ukuu wake?Then?
 
Wapi nimesema si ukatili?
Kwenye reply yako ya awali uliandika hivi👇👇
Alitaka kujidhihirisha kwa Pharaoh kuwa yeye ni Mungu.

Huyo Pharaoh umemsoma vizuri ukatili wake?

Ukiwa unajaribu kumaanisha kuwa farao alikuwa katili hivyo kwa kiasi fulani alistahili alichofanyiwa na Mungu. Na mimi ndipo nikauliza kuwa kama farao alikuwa katili je vipi kuhusu huyo aliyewauwa watu na kukata magovi yao kwa kuyumia jina la Mungu, je huo sio ukatili?

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom