Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

Uzi mzuri, Mungu anaruhusu 'free will " lakini kwa kila uamuzi unaochukua utakuwa na 'consequences ' zake.
 
Wao,thats just an excuse.The truth is we make our own choices.The only thing the devil is good at is lying to us but he can not force us to choose.So If I lie to you and you choose to believe my lies you still use your free will to trust me against your better judgement

Mkuu,Aybu hakujaribiwa wala hakukuwa na Bet kati ya Shetani na Mungu,Bali Shetani alikuwa anazurura tu.Teknikali unaweza sema Ayubu aliwa napitia Magumu na alikuwa anayavumilia.Alianguka na kuinuka Mara nyingi na akaendelea kumtumainia Mungu.Hizo habari kubet na bifu ni tafsiri potofu ya fikra zako.
Mkuu hapo uliposema shetani alikua nazurula umefanya nicheke kidogo...anyway, binafsi itanichukua muda sana kuamini kuwa hivi vitu vipo; Shetani, dhambi, na utashi. Hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kuwa hivi vitu vipo.
 
Free will navoelewa mimi ni uhuru wa kuchagua. Niwaruhusu waende ama niwakataze wasiende. If you are making any decision basing on outside influence hio sio free will.
Farao alikua influenced kukataa. Sidhani kama hio ni free will.
Kwa hiyo ukitenda dhambi, Mungu anatakiwa akusamehe kwa vile kaacha Free will!?
 
Mimi ni Mkristo Mkatoliki na napenda sana dini yangu. Ila zaidi napenda sana kujifunza hasa pale ambapo panakua na ugumu ama mkanganyiko.
Narudia tena, nitaomba mnisamehe kama nakosea ila nina swali nahitaji kufahamishwa.

Tunaambiwa kwenye Biblia kwamba Mungu alimtuna Musa(Moses) akawakomboe wana wa Israel kutoka mikono ya Farao(Pharaoh) na akampa maelekezo namna ya kufanya ili Farao aweze kumuelewa. Lakini Mungu pia akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu asikubaliane na ujumbe wa Musa. Sasa swali langu ni kwamba, Je? Mungu alikua anatafuta sababu ya kumuangamiza Farao? Maana pengine asingefanya moyo wa Farao kua mgumu, pengine Farao angekubali tu kwamba sawa enendeni maana Mungu wenu amewataka muende nchi ya ahadi.

Tunaambiwa Mungu wetu anaruhusu Free Will yaani Ruksa ya kufanya maamuzi mwenyewe, je mbona aliingia maamuzi ya Farao? Mbona aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu?
Ukitaka kuujua UKWELI kuhusu "MUNGU", kwanza jitoe kwenye kanisa katoliki, maana hilo kanisa linaongoza kwa mafundisho ya uongo.

Kujibu swali lako ni hivi; Farao na taifa lake walikuwa wanaabudu "miungu" mingine hivyo MUNGU wa KWELI aliamua kuufanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili ajidhihirishe kwao kuwa YEYE Ndiye MUNGU na hakuna mwingine.

Pia fahamu kwamba MUNGU ndiye Muumbaji wa Mwanadamu hivyo basi anayo haki na mamlaka ya kumtumia Mwanadamu katika jambo lolote lile kwa manufaa ya wengi na hakuna mtu au yeyote yule anayeweza kumuuliza, "unafanya nini?" au "kwanini umefanya hivi au vile?" Soma WARUMI 9:17-21

Tena tambua kwamba MUNGU ni mwenye HAKI na kamwe hakoseagi katika kila alifanyalo. Alipoufanya moyo wa Farao kuwa mgumu hakukosea hata kidogo. Soma MITHALI 16:4
 
SITAKI KUELEWA,JE Ni Mungu ananizuia Nisielewa au Ni mimi Mwenyewe nimeamua kutokuelewa?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umekengeuka sasa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Ni wewe tu umeamua kutoelewa, mbona pia Mungu katupa viongozi wa dini kutuelimisha mema na mabaya lakini watu hamuelewi mnarudia dhambi zile zile
 
SITAKI KUELEWA,JE Ni Mungu ananizuia Nisielewa au Ni mimi Mwenyewe nimeamua kutokuelewa?
Nakuuliza wewe andoza hili, hivi unafikiri kwanini Mungu aliruhusu mwanae mpendwa apitie kile kikombe cha mateso ilihali alikua na uwezo wa kukiondoa, naomba majibu ya hili
 
Mkuu kuwa serious kidogo....

Yaani yuda alitumika na shetani kumsaliti yesu ili mpango wa Mungu utimie. Kwa maana hiyo hili bifu la Mungu na shetani ni lakutengeneza. Wanafanya tuamini kuwa wao hawapatani lakini kumbe wanafanya kazi kwa pamoja.

Umenofanya nikumbuke kisa cha ajubu. Shetani na Mungu walikutana wakaanza kutambiana kuhusu ayubu na Mungu akamruhusu shetani amtese ayubu ili kupima imani yake kwa Mungu. Kwa lugha ya kisasa tunaita kubet, Mungu na shetani walikuwa walibet kwa ayubu.
Hata shetani aliumbwa na Mungu, Mungu hutumia chochote vile apendavyo ili kutumiza kusudi lake hapa duniani na hata mbinguni
 
Mimi ni Mkristo Mkatoliki na napenda sana dini yangu. Ila zaidi napenda sana kujifunza hasa pale ambapo panakua na ugumu ama mkanganyiko.
Narudia tena, nitaomba mnisamehe kama nakosea ila nina swali nahitaji kufahamishwa.

Tunaambiwa kwenye Biblia kwamba Mungu alimtuna Musa(Moses) akawakomboe wana wa Israel kutoka mikono ya Farao(Pharaoh) na akampa maelekezo namna ya kufanya ili Farao aweze kumuelewa. Lakini Mungu pia akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu asikubaliane na ujumbe wa Musa. Sasa swali langu ni kwamba, Je? Mungu alikua anatafuta sababu ya kumuangamiza Farao? Maana pengine asingefanya moyo wa Farao kua mgumu, pengine Farao angekubali tu kwamba sawa enendeni maana Mungu wenu amewataka muende nchi ya ahadi.

Tunaambiwa Mungu wetu anaruhusu Free Will yaani Ruksa ya kufanya maamuzi mwenyewe, je mbona aliingia maamuzi ya Farao? Mbona aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu?
Hapo sasa...!!
 
Kwenye imani zetu hizi ili kuweza kumuelewa Mungu kupitia maandiko kisawasawa kuna umuhimu wa kusoma vizuri, kuelewa na kupata muda wa kutafakari.

Mimi ninavyoelewa ni kwamba Mungu aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili aendeleze ubishi kwa taifa la Israeli aishie kupewa mapigo kupitia Musa

Ni kama pale Mungu alipomwachia mnadhiri wake Samsoni kwenda kumuoa Delilah mfilisti huku akijua yatakayotokea mbeleni. Ukisoma biblia utaona kuna sehemu Samson aliambiwa asimuoe mfilisti yule Delilah, ila ukweli ni hawakujua kwamba "Wazazi wake hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti. Wakati huo, Wafilisti waliwatawala Waisraeli" Waamuzi 14:4

Hicho kidogo ndio mimi nnachokielewa officialBossmtoto ila pia sipendi sana hizi maada za imani sababu naamini mimi sijabobea
"Mimi ninavyoelewa ni kwamba Mungu aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili aendeleze ubishi kwa taifa la Israeli aishie kupewa mapigo kupitia Musa"

So Mungu kwa makusudi kabisa aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu ili awe mbishi kisha ampige mapigo ya kiuonezi na yasio ya kiungwana?

So kwa mantiki hiyo tunaweza sema Mungu ni mkatili kwasababu aliangamiza watoto wa kwanza kila familia pale misri wasio na hatia bila sababu yeyote.
 
Duuh kazi kweli kweli

Hadi sasa comments mia na ila sijaona aliyejibu swali watu wanapuyanga tu
 
Mi nawaambiaga jamaa zangu wahubiri,.. Niacheni nile tungi ila kama pepo ipo tutakutana wote hukohuko... Hakuna cha free will wala nini... Sir God mwenyewe anatucheki tu tunavyobishana
 
Duuh kazi kweli kweli

Hadi sasa comments mia na ila sijaona aliyejibu swali watu wanapuyanga tu
Hakuna mwenye jibu hata mmoja... Wanazunguka tu maana kila wanalohisi ni jibu.. Halijitoshelezi
 
Mkuu,Nimejibu vizuri,Hata wewe umepewa uhuru wakuamua kuwa na Moyo Mgumu au kuwa Moyo Laini na kuadhibiwa.Na Farao Vivyo hivyo.YEYE ALICHAGUA KUWA NA MOYO MGUMU.
Acha upotoshaji

Biblia haijasema farao alichagua kuwa na moyo mgumu, biblia imesema mungu aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu

Mungu kaingilia uhuru wa farao kwa kumlazimisha awe na moyo mgumu meanwhile farao hakua na option ya kuepuka
 
Kwa hio kuna muda Mungu anadhuru mtu asie na hatia ili jambo fulani litimie? Je? Farao alikua na kosa gani?

​

Yap mbona hilo limewekwa wazi kwenye bible

KUMBUKUMBU LA TORATI 32:39​

Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye,
Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi;
Naua Mimi, nahuisha Mimi,
Nimejeruhi, tena naponya;
Wala hapana awezaye kuokoka katika mkono wangu,
 
Mungu alifanya moyo wa kijana Farao ili ishara zake ziwe nyingi kwa wana wa Israel, ili wapate kumumini Mungu katika uwezo na ishara zake, kwasababu Mungu alijua ambayo watakuna nayo wana Israel huko mbeleni. Kwa zile ishara ilikuwa kuwahengea kujiamini kwamba wane Mungu, na ndio maana utaona kuna baadhi ya nchi ( jamii ) waliposikia jamaa wanapita walikuwa wakinyaa kwasababu walisikia yale ambayo Mungu aliwatenda wa Misri. Ila angepiga tukio moja tu, Israel kuamini kwao kulikuwa tia maji tia maji
So unataka kusema Mungu aliishiwa mbinu?

Unawaongeleaje wale watoto wa kwanza kwa kila familia aliowaangamiza Mungu kwa ajili ya ku catch feelings za farao?
 
Mungu hahitaji KIKI wala hafanyi FITNA unakosea sana kufikiri hivyo.MUNGU amekupa uhuru wa kuchagua na kuwajibika kwa machaguo yako na anajua kwamba una njia ya laana na njia ya BARAKA ni wewe uchague tu.
uhuru wa kuchagua sio tu kwamba watu hawana bali hata mungu wako hana

Hana uhuru wa kurekebisha makosa yake ambayo alijutia na kukiri kutokuja kurudia tena pale alipoangamiza watu kwa moto

Ukisoma Mwanzo 6:5-7 ukisoma humo utaona panics na majuto ya mungu pamoja mihemko ambayo inaonesha kasindwa kuidhibiti hasira baada ya kufeli kwa mipango yake hapo inaonesha Mungu sio mjuzi wa yote na ana imperfections kibao
 
Back
Top Bottom