fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,996
- 24,799
Unalitafakari Neno katika ulimwengu wa nyama na uwelewa wa kibinadamu. Alafu hakuna Neno ambalo liko wazi kwenye Biblia kama safari ya Wanawaisrael kutoka Misti maana kila alilomwagiza Musa alimpa na sababu ya kwanini anafanya hivyo. "ILI WAPATE KUJUA NA KUSADIKI YAKUWA MUNGU WA BABA YAO IBRAHIM, ISAKA NA JAKOB AMEKISIKIA KILIO CHENU"Kwa hiyo farao hakuwa na kosa, ni kama Mungu alikuwa anamfanyia fitna farao ili yeye (Mungu) akubalike na Waisrael. Kwa lugha ya kisasa tunaita kiki, Mungu alikuwa anatafuta kiki.
"ILI WASADIKI YAKUWA HAKUNA MUNGU MWINGINE ISIPOKUWA MIMI BWANA WA MAJESHI"