officialBossmtoto
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 370
- 1,230
- Thread starter
- #21
Unawezaje kusema nina uhuru wakati Mungu anaweza kuamua niwe mbakaji ili nifungwe jela kwa manufaa ya watu anaowataka yeye?
Such a good Question
Unawezaje kusema nina uhuru wakati Mungu anaweza kuamua niwe mbakaji ili nifungwe jela kwa manufaa ya watu anaowataka yeye?
Cha,Wewe unafikiri unavobisha hapa sasa hivi ni Mungu ankufanya Ubishe hivi kama zuzu ili uoneshe ujinga wako hapa JF kisha akuue kwa kupata hofu na wasiwasi halafu apate kiki?JE MUNGU AMEKUFANYA UWE KICHWA NGUMU?HILI SWALI LA KIPUMBAVU ULILOULIZA NI MUNGU AMEKUFANYA ULIULIZE?It is not free will because he was driven to do so. Alilazimishwa kufanya vile. Kumbuka Mungu ndo aliutia ugumu moyo wa Farao sio matendo ya Musa.
Tafuta kazi jiweke busy mkuu una tatizo la overthinking kaka,anza na kusoma vitabu vya self development.
Mungu hufanya kama apendavyo, hatuwezi muhoji kwanini alimpenda Yaboko na kumchukia Esau,hufanya apendavyo. Japo Mungu hujua mwisho wa mtu, mwisho wa Farao ulikuwa ni mmbaya, na ndio maana Mungu aliamua kumtumia Farao. Farao ndio alivyokuwa hivyo na ndio maana akamtumia na ili kuongeza makali akafanya na moyo wake kuwa mgumu zaidi. Ni kama Sauli alivyo zingua Mungu akaruhusu roho ya utaabishaji . Inshort Mambo yana ongozwa na kanuni. Mungu kaweka kama katiba, ukivunja hii katiba unapata hili, kwa mfano ukiwa mzini ukipata ukimwi, si Mungu ila umevunja kanuniKwa hiyo farao hakuwa na kosa, ni kama Mungu alikuwa anamfanyia fitna farao ili yeye (Mungu) akubalike na Waisrael. Kwa lugha ya kisasa tunaita kiki, Mungu alikuwa anatafuta kiki.
Huwa napata shida sana kufanya mijadala na watu ambao hawapendi/hawawezi kujibu hoja moja kwa moja. Hebu mkuu, eleza biblia inaposema Mungu aliufanya moyo wa farao uwe mgumu inamaanisha nini?Mungu kakuruhus wewe uwe mbakaji au usiwe mbakaji.Na ukiwa mbakaji unaweza ukafungwa jela au usifungwe jela.Ndio maana ya Free will,Uhuru usio na mipaka ila kila mtu anawajibika kwa matendo yake
Cha,Wewe unafikiri unavobisha hapa sasa hivi ni Mungu ankufanya Ubishe hivi kama zuzu ili uoneshe ujinga wako hapa JF kisha akuue kwa kupata hofu na wasiwasi halafu apate kiki?JE MUNGU AMEKUFANYA UWE KICHWA NGUMU?HILI SWALI LA KIPUMBAVU ULILOULIZA NI MUNGU AMEKUFANYA ULIULIZE?
Free will ipo. Ila pia kuna spiritual protocoal. Mala nyingi na nivyo ilivyo, Farao alikuwa na huo Moyo na ndio maana Mungu akamuweka pale kwa ajiri ya kazi ya Mungu itendeke. Farao ule moyo alikuwa nao kabla hata ajazaliwa, ila Mungu hakuruhusu u manifest kabla ya mda wa Mungu kutenda kazi, ulipofika mda wa Mungu ndio akaruhusu na kufanya state ya moyo harisi ya wa Farao kuihirika wazi wazi. Inshort bible kimaelezo nyingi zina mapungufu, na ndio maana kama msomaji soma vesrion tofauti utapafa picha kamiliHivo basi Why are we told that there is free will na wakati looking at it countless times imekua broken
Mungu hufanya kama apendavyo, hatuwezi muhoji kwanini alimpenda Yaboko na kumchukia Esau,hufanya apendavyo. Japo Mungu hujua mwisho wa mtu, mwisho wa Farao ulikuwa ni mmbaya, na ndio maana Mungu aliamua kumtumia Farao. Farao ndio alivyokuwa hivyo na ndio maana akamtumia na ili kuongeza makali akafanya na moyo wake kuwa mgumu zaidi. Ni kama Sauli alivyo zingua Mungu akaruhusu roho ya utaabishaji . Inshort Mambo yana ongozwa na kanuni. Mungu kaweka kama katiba, ukivunja hii katiba unapata hili, kwa mfano ukiwa mzini ukipata ukimwi, si Mungu ila umevunja kanuni
Hiyo Free will ya mtu ndio ilichagua kuwa gaidi sasa.Hapo juu umesema kuwa Mungu hujua mwisho wa mtu. Hii inamaanisha kuwa binadamu hatuna free will. Kwa sababu kama mwisho wangu ni kuwa gaidi, inamaana huo mwisho ulipangwa kabla hata mjmi sijazaliwa. Kwa hiyo si mimi ninayetenda makosa bali aliyeniweka ndiye anapanga nitende makosa.
Ungeuliza swali bila kutanguliza unazi wa dini yako, ningetumia Muda mrefu kidogo kutoa maelezo ya kina juu ya swali lako. Ila naogopa kwa sababu ya udini uliouonesha.
Basi huyu Mungu atakuwa mkatili sana. Fikiria ananifanya mimi nimbake bibi kizee, mimi nikiwa naamini ni tamaa zangu kumbe ni yeye ameshinikiza nifanye hivyo kwa sababu zake.Ili Mungu atukuzwe na kupokea heshma, sifa na utukufu wake
Angalia sana unachoandika, hata hivyo vidole vilivyotumika kutype ujumbe wako ni Mungu amekupa uwezo. Kama huna mchango wa kuchangia nyamaza au pita bila comment. Usije ukapitia magumu zaidi kwa kuamini yaliyoandikwa katika historia ya Mungu na watu wake ni mauzauza. Be humble hata pumzi unayoitumia na mapigo ya moyo wako siyo mauza uza ni uumbaji ambao yupo aliyeumba na huyo ndiye Mungu. Umepata wapi ujasiri wa kusema ni mauzauza mambo yahusuyo Mungu?Haya mauzauza bado mnayaamini?