Nisaidieni, dushelele yake inaweza kukua tena?

dushelele nyimbo ya ali kiba sasa umeichunguliaje kwako
 
Ndy nimemchungulia hat hamu ya kulal nae imeisha@the boss

Naskia eti usasa ndio umeathiri hizo miti. Tunakata cover mapema kabla mtoto hajakua (Yaani chanzo chake ni kutahiri watoto wetu ktk hatua ya utoto sana/umri mchanga). Kama yuko above 18 siamini kama itaongezeka, ila kama hajafikisha yawezekana ikaongezeka. Huenda uliza zaidi kwa Dr ukweli wa hii issue isije ikala hata kwa mwanao.
 
Nampenda san mpenz wanguu ila sasa kuna ule msemo wa siku hizi wa kuwa chunguze mzigo ulipo kwanza kabla hujaingia ndani. Mimi nimechunguza, duuh! nilichokiona dusheleee lake nikadogo mno. Hivi inaweza kukua tena kweli au ndiyo basi tena?

Mwambie anunue jiwe la kilo mbili yale ya kupimia mizani za sokoni, halafu kila siku akilala aifunge hiyo dushelele na kamba kichwani kisha alifunge hilo jiwe alining'inize kitandani. Kwa mwezi mmoja ataongezeka nchi saba.
 
Ndogo unalalamika, kubwa ungelalamika pia.
 
umetafakari korongo lako ndo mana cha kwanza ukachungulia mtwangio, ukajua huu utaelea kwenye korongo lako
 
Nampenda san mpenz wanguu ila sasa kuna ule msemo wa siku hizi wa kuwa chunguze mzigo ulipo kwanza kabla hujaingia ndani. Mimi nimechunguza, duuh! nilichokiona dusheleee lake nikadogo mno. Hivi inaweza kukua tena kweli au ndiyo basi tena?
Ndio basi tena na ulichokiona mpaka kufikia ndoa kitakuwa kimepungua zaidi ya nusu ya ilivyo sasa!
 
Mwambie anunue jiwe la kilo mbili yale ya kupimia mizani za sokoni, halafu kila siku akilala aifunge hiyo dushelele na kamba kichwani kisha alifunge hilo jiwe alining'inize kitandani. Kwa mwezi mmoja ataongezeka nchi saba.

mh haha ha i like this
 
Eti swimming pool ha ha !! Ww Dada hyo kitu ndani no elastic material inatanuka na kusinyaa yaan itakutosha jaribu tuu!
 
hehehe dunia ina mambo na watu wana shida ipo kazi hehehe
 
Nampenda san mpenz wanguu ila sasa kuna ule msemo wa siku hizi wa kuwa chunguze mzigo ulipo kwanza kabla hujaingia ndani. Mimi nimechunguza, duuh! nilichokiona dusheleee lake nikadogo mno. Hivi inaweza kukua tena kweli au ndiyo basi tena?

Hahaha! Labda kama unataka dushelele ya maonyesho.
 
Nampenda san mpenz wanguu ila sasa kuna ule msemo wa siku hizi wa kuwa chunguze mzigo ulipo kwanza kabla hujaingia ndani. Mimi nimechunguza, duuh! nilichokiona dusheleee lake nikadogo mno. Hivi inaweza kukua tena kweli au ndiyo basi tena?

Kwanini ulianza haya mambo mapema? unajua mpaka kuzidifferentiate ?
 
Back
Top Bottom