Nisaidie kisheria kuvunja ndoa

Private investigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
273
500
Ndoa yangu ilikuwa ya kikanisa, tumeshaachana na mke ameamua kuondoka mwenyewe.
Nawezaje kufuta cheti cha ndoa? Nina mpango wa kuoa mwingine. Ikizingatiwa Mimi in mtumishi wa umma na vyeti vya ndoa viko kwenye jalada langu. Bado ex wangu anatumia bima ya afya kwa utumishi wangu. Sijazaa nae kabisa.
Nifanye nini ili niwe guru kisheria?
 
Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
3,976
2,000

Nenda mahakamani fungua file la talaka.
Note: mahakama haipo kwa ajili ya kuvunja ndoa, ila watakuwa na uwezo wa kutengua ndoa zilizoshindikana. Kisheria irrepable marriage.
 
Ahsante. Na baada ya hapo naweza kuwa huru kuoa upya make mwingine?
 
Mkiliman

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
981
500
Ndoa yangu ilikuwa ya kikanisa, tumeshaachana na mke ameamua kuondoka mwenyewe.
Nawezaje kufuta cheti cha ndoa? Nina mpango wa kuoa mwingine. Ikizingatiwa Mimi in mtumishi wa umma na vyeti vya ndoa viko kwenye jalada langu. Bado ex wangu anatumia bima ya afya kwa utumishi wangu. Sijazaa nae kabisa.
Nifanye nini ili niwe guru kisheria?

Mkuu,

1. Nenda kwenye Baraza la usuluhisho ambalo lipo hapo kanisani kwako ili kusuluhishwa wewe na mwenzako.

2. Ikiwa usuluhishi utashindikana, Baraza hilo litatoa cheti cha kuthibitsha kushindikana kwa usuluhishi.

3. Baada ya kupata cheti hicho, utaenda mahakama ya wilaya kufungua shauri la kuvunja ndoa yenu.

4. Katika shauri lako utahitaji nyaraka kama vile cheti cha ndoa yenu, maelezo yenye ushahidi wa matatizo mliyopitia hadi kupelekea kufanya uamuzi wa kutaka kuvunja ndoa yenu, cheti cha Baraza nilichotaja hapo juu, maelezo kuhusu mgawanyo wa mali, kama zipo, n.k.

5. Baada ya shauri lako kusikilizwa na hukumu kutolewa, kama utashinda ktk shauri lako, basi, utachukua nakala ya hukumu na tuzo ya mahakama (judgment and decree) na kuiwasilisha RITA kwa usajili wa talaka yenu.

6. Baada ya kuwasilisha judgment and decree, RITA watatoa Cheti cha Talaka (Certificate of Divorce) ili kuthibitisha ndoa yenu haipo tena.

Kila la heri.
 
hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,902
2,000
Muomba ushauri hajaeleza vema kwa nini hasa mwenza Wake ameondoka.
Inaonekana ni kama tayari ashapanga matokeo ya anachotaka kufanya.
Anyway, ndoa haivunjwi kanisani kwa sababu Mungu hanaga tabia ya kupenda penda talaka.
Dadavua tatizo la mgogoro wenu acha kuficha ficha.
Mficha uchi hazai wahenga walisema
 
dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,314

Mkuu uko vizuri.
 
Ahsante sana. Naona umeniambia yote. Ahsante tena. Nitakufata PM
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,603
2,000
Ikizingatiwa Mimi in mtumishi wa umma na vyeti vya ndoa viko kwenye jalada langu.

Vyeti vya ndoa? Kwani viko/ unavyo vingapi?

Na kipo/ vipo kwenye jalada gani? La utumishi wako wa umma?

Kama ni hivyo, kwa nini? Utumishi wako wa umma na ndoa yako vina uhusiano gani?
 
mashahu

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
517
250
Muomba ushauri hajaeleza vema kwa nini hasa mwenza Wake ameondoka.
Inaonekana ni kama tayari ashapanga matokeo ya anachotaka kufanya.
Anyway, ndoa haivunjwi kanisani kwa sababu Mungu hanaga tabia ya kupenda penda talaka.
Dadavua tatizo la mgogoro wenu acha kuficha ficha.
Mficha uchi hazai wahenga walisema
Anaogopa kuharibu ushahidi.
 
mashahu

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
517
250
Mkuu,

1. Nenda kwenye Baraza la usuluhisho ambalo lipo hapo kanisani kwako ili kusuluhishwa wewe na mwenzako.

2. Ikiwa usuluhishi utashindikana, Baraza hilo litatoa cheti cha kuthibitsha kushindikana kwa usuluhishi.

3. Baada ya kupata cheti hicho, utaenda mahakama ya wilaya kufungua shauri la kuvunja ndoa yenu.

4. Katika shauri lako utahitaji nyaraka kama vile cheti cha ndoa yenu, maelezo yenye ushahidi wa matatizo mliyopitia hadi kupelekea kufanya uamuzi wa kutaka kuvunja ndoa yenu, cheti cha Baraza nilichotaja hapo juu, maelezo kuhusu mgawanyo wa mali, kama zipo, n.k.

5. Baada ya shauri lako kusikilizwa na hukumu kutolewa, kama utashinda ktk shauri lako, basi, utachukua nakala ya hukumu na tuzo ya mahakama (judgment and decree) na kuiwasilisha RITA kwa usajili wa talaka yenu.

6. Baada ya kuwasilisha judgment and decree, RITA watatoa Cheti cha Talaka (Certificate of Divorce) ili kuthibitisha ndoa yenu haipo tena.

Kila la heri.
hii imekaa vizuri ila kiatu kitaisha soli.
 
Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
3,976
2,000
Ahsante. Na baada ya hapo naweza kuwa huru kuoa upya make mwingine?
Grounds for divorse iwe genuine! Yangu ilivunjika na mahakama ikamalizia kwa kusema hivi.
"This marriage has broken irretrievable"
Maana yake itenguliwe kwa kuwa imeshavunjika.
Then within 2 months x mr wangu kaoa na within 6 months nami nikampata aliyenifaa.
Note: kama imeshavunjika basi kafungue file la talaka, kama ina mgogoro basi mkutane mzungumze na kusameheana. Do'nt rush, think twice. Shirikisha kiongozi wako wa dini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom