Court, then anaoa kimilaNdoa ya kikristo haina talaka lakini
Makanisa ya kilokole yatampokea na kumfungisha ndoa mupyaaaa!Unaweza lkn si ya kanisani labda ukafunge bomani.
uko sawa mkuu lakini mahakama ni ya mwanzo sio ya wilayaMkuu,
1. Nenda kwenye Baraza la usuluhisho ambalo lipo hapo kanisani kwako ili kusuluhishwa wewe na mwenzako.
2. Ikiwa usuluhishi utashindikana, Baraza hilo litatoa cheti cha kuthibitsha kushindikana kwa usuluhishi.
3. Baada ya kupata cheti hicho, utaenda mahakama ya wilaya kufungua shauri la kuvunja ndoa yenu.
4. Katika shauri lako utahitaji nyaraka kama vile cheti cha ndoa yenu, maelezo yenye ushahidi wa matatizo mliyopitia hadi kupelekea kufanya uamuzi wa kutaka kuvunja ndoa yenu, cheti cha Baraza nilichotaja hapo juu, maelezo kuhusu mgawanyo wa mali, kama zipo, n.k.
5. Baada ya shauri lako kusikilizwa na hukumu kutolewa, kama utashinda ktk shauri lako, basi, utachukua nakala ya hukumu na tuzo ya mahakama (judgment and decree) na kuiwasilisha RITA kwa usajili wa talaka yenu.
6. Baada ya kuwasilisha judgment and decree, RITA watatoa Cheti cha Talaka (Certificate of Divorce) ili kuthibitisha ndoa yenu haipo tena.
Kila la heri.
Unajuwa mpaka unatisha mkuuMkuu,

GoodMkuu,

Kaka mshana talaka ama kutengua ndoa ipo mkuu,Ndoa ya kikristo haina talaka lakini
Nimelipitia hili unalotaka kulipitia Nina uzoefu kivitendo mkuu,ukipata nafasi tushirikishane uzoefuAhsante sana. Naona umeniambia yote. Ahsante tena. Nitakufata PM
Bless up keep on dropin wise tings,Grounds for divorse iwe genuine! Yangu ilivunjika na mahakama ikamalizia kwa kusema hivi.
"This marriage has broken irretrievable"
Maana yake itenguliwe kwa kuwa imeshavunjika.
Then within 2 months x mr wangu kaoa na within 6 months nami nikampata aliyenifaa.
Note: kama imeshavunjika basi kafungue file la talaka, kama ina mgogoro basi mkutane mzungumze na kusameheana. Do'nt rush, think twice. Shirikisha kiongozi wako wa dini.
Na kuzini so lazima umkamate,Mathayo 19:3-9
Talaka ipo,mwenzi wako akizini unaruhusiwa kumtaliki.
Vipi km mwenzako anatumia uvumilivu wako kukupigiasipendagi mambo ya kuachana achana, sipendi stress za mapenzi. Upendo huvumilia yote
Siyo hakuna sababu,hajatoa sababu,Ukanjanja haufai
Sijaona mantiki yakutaka kuvunja ndoa
Labda km unataka msaada kuhusu separation ambayo haina maana ya kuvunja ndoa(divorce)
Kwny mambo ya sheria huwa hamna kuongeza jambo ambalo halipo.Siyo hakuna sababu,hajatoa sababu,
Unaongelea legal separation?
HairuhusuHivi sheria ya ndoa bongo inaruhusu kuwa na 'pre-nups'?
basi ni ya kipuuzi..Hairuhusu