Nisaidie kisheria kuvunja ndoa

Kwa kuwa ulifunga kanisani HIVYO jiandae yafuatayo, MOSI, Hutafunga ndoa NYINGINE Kanisani Mahala popote Duniani MAISHA yako yote labda hadi pale mkeo atakapokuwa amefariki ndo utaweza kufungua ndoa kanisani. PILI, Ujiandae Kutengwa na Kanisa na kwa kutokushiriki kalamu ya Bwana MAISHA yako yote popote Duniani. TATU, Ndoa utakayofunga itakuwa Ama ufunge ya KIMILA, KISERIKALI,AU UBADILI DINI UFUNGE KWA IMANI YA DINI NYINGINE, AU MUAMUE KUISHI BILA NDOA MAISHA YAKO YOTE. KUPANGA NI KUCHAGUA,KILA LA HERI.
 
Hizi ndio akili za Wakatoliki, kanisa la bwana haliwezi kumtenga kondoo kwa sababu za kipuuzi kama hizi, hizo ni sheria za kujitungia kina Pengo na siyo mafundisho ya biblia.

Soma biblia inafundisha nini kuhusu talaka, nami ni Mkatoliki pia nawajuwa wenzangu wasoma misale ya waumini biblia imepita kushoto mmeshibishwa amri za kanisa, ni ubatili mtupu.
 
Ahsante sana. Naona umeniambia yote. Ahsante tena. Nitakufata PM
Wewe mrudishe mke wako punguza hasira.Kumbuka kiapo chenu kanisani,kumbuka watu walioacha shughuli zao nakuja kujumuika nanyi.Ndoa za kwa kikristo na hasa Roma ni nyumba yenye mlango mmoja tu wa kuingilia hakuna mlango wa kutokea.T.Y.K
 
Kaka mshana talaka ama kutengua ndoa ipo mkuu,
Nimepitia hili na limeisha na sasa nnasubiri 40 days nkachukue cheti cha talaka,hata kanisani zipo sababu zinazopelekea kutengua ndoa,zipo ndoa zinakuwa batili since day one,na kwa kutojua ndoa nyingi ni batili tangu kufungwa kwake,kaka nnapitia hili nimejifunza mengi sana,na mambo ni tofauti sana na tunavodhani huku mtaani
Yap na ninachojua kwa kanisa katoliki lina mahakama zake hasa zipo kikanda zinazotengua ndoa, mfano hasa ndoa zinapokuwa batili. Ubatili wa ndoa ni pamoja na mwanamke kutokubeba mimba (kama sijakosea kuhusu hilo) endapo tu mwanamke hakutoa taarifa mapema ili mwenzake aweze kuwa katika utayari wa kufanya maamuzi , mwanaume kuwa mdudu mkubwa kiasi cha kuhatarisha Afya ya mwenzake, mwanamke kuwa na njia ndogo, mmoja kutokuwa katika uhiyari wa kuoa au kuolewa, n.k
 
Hizi ndio akili za Wakatoliki, kanisa la bwana haliwezi kumtenga kondoo kwa sababu za kipuuzi kama hizi, hizo ni sheria za kujitungia kina Pengo na siyo mafundisho ya biblia.

Soma biblia inafundisha nini kuhusu talaka, nami ni Mkatoliki pia nawajuwa wenzangu wasoma misale ya waumini biblia imepita kushoto mmeshibishwa amri za kanisa, ni ubatili mtupu.
Kwa bahati mbaya sana unaongea kitu usichokijua. Huwezi kujua taratibu za ofisi yoyote kama huna jambo la kukupeleka huko..!!
 
Hizi ndio akili za Wakatoliki, kanisa la bwana haliwezi kumtenga kondoo kwa sababu za kipuuzi kama hizi, hizo ni sheria za kujitungia kina Pengo na siyo mafundisho ya biblia.

Soma biblia inafundisha nini kuhusu talaka, nami ni Mkatoliki pia nawajuwa wenzangu wasoma misale ya waumini biblia imepita kushoto mmeshibishwa amri za kanisa, ni ubatili mtupu.
Unajua sababu za ndoa kuitwa batili?? Unazijua sababu za ubatili wa ndoa??
 
Usikurupuke, soma nilichoandika, amri za kanisa ni ubatili mtupu, Wakristo wanapaswa kuongozwa na biblia, ni wapi biblia iliandika mtu asipohudhuria jumuiya akifa asizikwe? Huu ndio ubatili wa mafundisho ya kujitungia kina Pengo na church Fathers wao wa Vaticano.
 
Kwa bahati nzuri sio msomaji wa biblia. Sijui nianzie wapi kukuelewesha.
Kifupi tafuta maana ya MTAGUSO na uhusiano wa MITAGUSO na BIBLIA angalau unaweza ukapata mwanga..!!
 
Wewe umelewa ukatoliki, nakwambia usome biblia wewe umeng'ang'ana na Project za Vatican, pole sana itakuchukuwa miaka kuutambuwa ukweli, endelea kufunikwa akili na maparoko wasiotaka kuowa huku wakizini na waumini na kulawiti vitoto vya kiume.
 
Kwa ulichokiongea hakuna haja ya kuendelea kujibizana na watu wa aina yako.
Kwa akili yako unafikiri kutenda dhambi kunachagua aina ya watu??
 
Yap na ninachojua kwa kanisa katoliki lina mahakama zake hasa zipo kikanda zinazotengua ndoa, mfano hasa ndoa zinapokuwa batili. Ubatili wa ndoa ni pamoja na mwanamke kutokubeba mimba (kama sijakosea kuhusu hilo) endapo tu mwanamke hakutoa taarifa mapema ili mwenzake aweze kuwa katika utayari wa kufanya maamuzi , mwanaume kuwa mdudu mkubwa kiasi cha kuhatarisha Afya ya mwenzake, mwanamke kuwa na njia ndogo, mmoja kutokuwa katika uhiyari wa kuoa au kuolewa, n.k
Biblia ndio KATIBA ya wakristo. Achana na upuuzi wa kikatoliki. Mara ya Mwisho kusoma biblia ilikuwa lini?
 
Bibilia Ipo Ndani ya Kanisa Moja Takatifu Katoliki La Mitume na Tunaitumia kunakotukuka. Hayo maprotestant yapo ndani ya Biblia hivyo ni ngumu kwao kuielewa.

Tumsifu Yesu Kristu.
 
Wewe umelewa ukatoliki, nakwambia usome biblia wewe umeng'ang'ana na Project za Vatican, pole sana itakuchukuwa miaka kuutambuwa ukweli, endelea kufunikwa akili na maparoko wasiotaka kuowa huku wakizini na waumini na kulawiti vitoto vya kiume.
Mkuu unaongea UKWELI mchungu kabisa!
 
Back
Top Bottom