- Thread starter
- #81
Karibu saana!! hope umekuja na mkakati madhubuti wa kupambana na adui baridi!
Nipe mkakati vanilla
Karibu saana!! hope umekuja na mkakati madhubuti wa kupambana na adui baridi!
Okay! Karibu mgeni
Hilo basi lenu utafikiri mwendo wa kobe bana
Mpaka Preta anasinzia hapa na ile vyuku aliyoandaa ishapoa kabisa
Mwambie Preta asile vyuku wote!
hapa kashashiba na kushiba
Akichanganya na castle lite kadhaa alizokunywa hapa anasinzia tuu
Preta anakusubiria sana
Basi nikifika nitamfahamu, maana mtu aliyesubiri sana anaonekana.
Preta ni mrembo wa mji aise
hapotei mkuu
Yaani utakayemuona amevaa gauni la maua maua ya kijani na njano na wigi kubwa kichwani ndie huyo huyo
Pia chini amevaa chachacha zile za nyeupe na sox za blue huyo ni mrembo Preta
Pia amejipulizia Yolanda na kuji9paka rays mkuu anawaka waka kama nyota
Yah ni sawa!Thanks Erickb52. Jina lako limenikumbusha majina ya ndege za kivita za USA zilizokuwa zinamshambulia late S. Hussein.
Yah ni sawa!
Ushafika??
Umekaribia! Ila dah nimesubiri sana toka umepost mi niko standmajani ya chai
Wakoje hao Preta? Nahisi ni wa kienyeji, watakuwa watamu.
Umekaribia! Ila dah nimesubiri sana toka umepost mi niko stand
Umempokea huyu Ndg?