Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

Na age range je? Ili iwe rahisi kukushauri sehemu ya kufikia teh teh

Duh hii kali tena mpaka age range
So kama ni babu afikie mitaa ya African tulip na kibo palace
kama kijana akae karibu na triple A au boogaloo so mitaa ya sakina
kama ni chalii akae kijenge kabisa huko au makao mapya kabisa na kaloleni
 
Pa kufikia, sijajua ni wapi ila nitafikia nyumba za wageni, I mean hotel, guest etc. Sina uenyeji sana Arusha, mara ya mwisho nilipitia hapo 2008. Unaweza kunipa hints kuhusu sehemu nzuri za kufikia. Thanks

Fikia Florida Delux ,nenda Florida Bar karibia na round about ya kuelekea stand ya magari ya mkoa watakuelekeza bei ni kama 25,000/= ukitaka ya juu kidogo ipo kaloleni inaitwa Bistro ni kama 30,000/=
 
Duh hii kali tena mpaka age range
So kama ni babu afikie mitaa ya African tulip na kibo palace
kama kijana akae karibu na triple A au boogaloo so mitaa ya sakina
kama ni chalii akae kijenge kabisa huko au makao mapya kabisa na kaloleni
Hahahah right on Mr Rocky, na pia kujua age itasaidia pozi la upokeaji!!
 
Kweli kabisa babe maana kam ani mzee shikamooo nyingi
Kijana mambo zinakuwa nyingi
Mtoto sasa huyo unamwacha mbali kabisa
Safi sana huyu jamaa sijui katorokea wapi
 
Sema jinsia yako basi,nifanye mchakato wa kukupokea vizuri mpaka Naura spring
 
Kweli kabisa babe maana kam ani mzee shikamooo nyingi
Kijana mambo zinakuwa nyingi
Mtoto sasa huyo unamwacha mbali kabisa
Safi sana huyu jamaa sijui katorokea wapi
Hata mi nashangaa watu tushakula make up kuja kumpokea af katoweka!! Lolz
 
ruttashobolwa klashasema ni dume bana
Imekula kwa wengi aise
Wengine walitarajia awe mrembo hapa

babe anakufaa sana wewe maana ni mwanaume unafaa ukampokee na umuonyeshe viwanja aise
Hahaha mnamkimbia mgeni eeeh?? Teh teh mi nataka nijue na age kwanza?
 
Si unakumbuka rules za sumaku aise
Like poles na aunlike poles zinafanyaje aise
Mpokee asije hisi wana arachuga sio wakarimu bana
 
Nimekupata ila inabidi na we ujitokeze unilinde nsije enda pokea kumbe mwenzangu nyonya damu, teh teh teh!
 
hahahahah Simpicity sijui kapotelea wapi aje ajiteteee bana
Anaanzisha post halafu anatoroka
 
Duh hii kali tena mpaka age range
So kama ni babu afikie mitaa ya African tulip na kibo palace
kama kijana akae karibu na triple A au boogaloo so mitaa ya sakina
kama ni chalii akae kijenge kabisa huko au makao mapya kabisa na kaloleni

cha kuniacha kwenye mataa ni nini.....?...njoo basi leo pale khan tule vyuku....au unaenda kupiga uji wa shanga kwanza ndo uje....?
 
kama umepanda basi la buffalo kufika Arusha ni saa 10 au 11 jioni na kama upo vizuri kipesa fika town ila km haupo safi shukia mji mdogo wa USA kuna guest inaitwa MKUNDE GUEST HOUSE hapa uwa wanAfikia watu wa kubwa na pia ipo krb na kituo cha polisi USA RIVER hivyo ni full ulinzi mkuu krb A-TOWN.
 
Sawa mkuu kapistrano, ungefafanua zaidi kuwa vizuri na kutokuwa vizuri kifedha ili nipate picha hali, weka ranges mkuu, hahahaaa.
 
Si unakumbuka rules za sumaku aise
Like poles na aunlike poles zinafanyaje aise
Mpokee asije hisi wana arachuga sio wakarimu bana

Sawa wakuu, upendeleo kama kawa huwa upo hasa kwa akina dada, hahahaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom