Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

cha kuniacha kwenye mataa ni nini.....?...njoo basi leo pale khan tule vyuku....au unaenda kupiga uji wa shanga kwanza ndo uje....?

We Preta jana si ulisema uko nyichoka ndo maana nashangaa au umerudi kwa ungo aise
naenda kwanza kwenye uji wa shanga bana
 
Fikia Florida Delux ,nenda Florida Bar karibia na round about ya kuelekea stand ya magari ya mkoa watakuelekeza bei ni kama 25,000/= ukitaka ya juu kidogo ipo kaloleni inaitwa Bistro ni kama 30,000/=

Ahsante mkuu Mnama kwa maelekezo.
 
Mgeni mbona tunaanza kuwa na wasi wasi na wewe kwa dada zetu
Tutawaambia aise kuna kipanga katoka dar kwa hiyo wawe makini sana

Ni kawaida mkuu Mr Rocky usiogope, huo ndio ujirani mwema, sina hiyo tabia mkuu, nikutoe wasiwasi.
 
Ni kawaida mkuu Mr Rocky usiogope, huo ndio ujirani mwema, sina hiyo tabia mkuu, nikutoe wasiwasi.


Kwani mkuu simba huwa anasema anakula nyama
Yeye si kimya kimya njaa ikimuua anawinda swala na zebra mkuu
Wewe huwezi kusema mkuu ila matendo yataonyesha
 
Pa kufikia, sijajua ni wapi ila nitafikia nyumba za wageni, I mean hotel, guest etc. Sina uenyeji sana Arusha, mara ya mwisho nilipitia hapo 2008. Unaweza kunipa hints kuhusu sehemu nzuri za kufikia. Thanks
Fikia ****** bar! Ni pazuri sana hasa wakati wa jioni.
 
Kweli kabisa babe maana kam ani mzee shikamooo nyingi
Kijana mambo zinakuwa nyingi
Mtoto sasa huyo unamwacha mbali kabisa
Safi sana huyu jamaa sijui katorokea wapi

Samahani wakuu kwa slow responce, wakati mwingine network inakata, halafu nipo na rafiki hapa kijana kama mimi nimekaa naye, wakati mwingine full kustorisha, lazima nimpe consideration pia. Tumeshapita sehemu inaitwa Makanya.
 
ruttashobolwa klashasema ni dume bana
Imekula kwa wengi aise
Wengine walitarajia awe mrembo hapa




babe anakufaa sana wewe maana ni mwanaume unafaa ukampokee na umuonyeshe viwanja aise

Hata nahisi babe S amejipanga na ananifaa!
 
Hehehe sweetlady mi ni kazi yangu kule jukwaa la utambulisho!
Ila nacheck na Mr Rocky ampokee then jion ntawajoin mahali...!
Karibu Simplicity

Thanks Erickb52. Jina lako limenikumbusha majina ya ndege za kivita za USA zilizokuwa zinamshambulia late S. Hussein.
 
Last edited by a moderator:
cha kuniacha kwenye mataa ni nini.....?...njoo basi leo pale khan tule vyuku....au unaenda kupiga uji wa shanga kwanza ndo uje....?


Preta, kwenye vyuku naona unawaexempt wageni hivihivi!
 
Mi nitakuwa city park kuanzia saa moja krb
 
Back
Top Bottom