LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Mr Rocky, Wasiliana na hawa jf members walioko Arusha na wengine ili ikiwezekana (natumaini itawezekana) tuonane baadaye mida ya jioni. Naondoka hapa kwa muda kwenda sehemu. Arusha karibu watu waniponze (hasa jf members, allah, hahahaaa) hata nisiende kufanya lililonileta.
1) Preta
2)Fillipo
3) Mzee wa Rula
4)Pakajimmy
5)Lilyflower
6)Black Woman
7)Crashwise
8)LiverpoolFC
9)Igwe
10)Loner
11) LiverpoolFC,
12) babe S
13) Erickb52
etc, etc
Pls najaribu kutaja majina ya wale ambao najua wapo Ar, add and invite more members
Mmmhh!
Kweli mtandao ni noma!
Nani kakupa list ya MEMBER wa hapa A town?
Tutakuogopa we mgeni!