Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

We Preta jana si ulisema uko nyichoka ndo maana nashangaa au umerudi kwa ungo aise
naenda kwanza kwenye uji wa shanga bana

ni kweli nilikuwa Nyichoka....nikaenda mpaka Bwitengi....nimeingia leo kwa popobawa...nimeleta zawadi ya matenga na vikapu.....utapenda nikuletee...
 
ni kweli nilikuwa Nyichoka....nikaenda mpaka Bwitengi....nimeingia leo kwa popobawa...nimeleta zawadi ya matenga na vikapu.....utapenda nikuletee...

Bwitengi ulienda kufanya nini aise
Halafu nilipita hapo Robanda na Makundusi kuwasalimia waIkoma
Halafu diwani wa hapo Morotonga amefariki aise
Umewapa pole hao

Nashukuru mkuu, na ahsante kwa angalizo.

mkuu bado tuu hujafika
Au hilo basi lenu ni kama kobe anatambaa
 
Karibu saana!! hope umekuja na mkakati madhubuti wa kupambana na adui baridi!
 
Bwitengi ulienda kufanya nini aise
Halafu nilipita hapo Robanda na Makundusi kuwasalimia waIkoma
Halafu diwani wa hapo Morotonga amefariki aise
Umewapa pole hao

mkuu bado tuu hujafika
Au hilo basi lenu ni kama kobe anatambaa

Mkuu ndio tumeondoka Moshi stand sasa hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom