Nipokeeni wanajf mliopo Arusha.

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
40
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.

Nipo ndani ya basi la Buffalo kutokea Dar kwenda Arusha, wanajf mliopo Arusha na wenye mapenzi mema na wageni naombeni kampani yenu. Gari inasemekana kuingia mida ya saa 8/9.

Ndimi,

Simplicity.
 
karibu sana ARACHUGA usisahau koti maana daah kama vipi n PM ntakupa maelekezo
 
ungesema na jinsia ingesaidia sana wapokeaji wajiandae vipi lol
 
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.

Nipo ndani ya basi la Buffalo kutokea Dar kwenda Arusha, wanajf mliopo Arusha na wenye mapenzi mema na wageni naombeni kampani yenu. Gari inasemekana kuingia mida ya saa 8/9.

Ndimi,

Simplicity.

Mukulu kumbe uko Dar....

Mbona wanaJF wa Dar unatupiga chenga afu unataka wa Arusha wakupokee?

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
huna pa kufikia ?

Pa kufikia, sijajua ni wapi ila nitafikia nyumba za wageni, I mean hotel, guest etc. Sina uenyeji sana Arusha, mara ya mwisho nilipitia hapo 2008. Unaweza kunipa hints kuhusu sehemu nzuri za kufikia. Thanks
 
Karibu mkuu! Nipo kwenye mishe nje ya mji,ngoja walio town mida hii wakupe mwelekeo ndugu..
 
Mkuu Simplicity wanaulizia jinsia yako aise mapema
Watu wa Arachuga hawana madogo
hata hivyo karibu sana mkuu huku
Baridi inachapa mbaya
 
Mukulu kumbe uko Dar....

Mbona wanaJF wa Dar unatupiga chenga afu unataka wa Arusha wakupokee?

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Sijawahi kupiga mtu chenga mkuu Asprin. Wakati mwingine mtu unakuwa hujaingia jf kutokana na kukosa muda au sababu zingine. Hata hivyo Dar sina muda mrefu sana. Mie ni mtu ninayependa kujuana na watu na kutengeneza marafiki.

Hahahaaa,hata hivyo vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Mkuu Simplicity wanaulizia jinsia yako aise mapema
Watu wa Arachuga hawana madogo
hata hivyo karibu sana mkuu huku
Baridi inachapa mbaya

Mkuu Mr Rocky Ahsante. Ni vizuri wakajua ni jinsia gani, sina tatizo na kufunguka na kujibu maswali ya watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom