Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Hii ni vita ya daslam na rockcity arusha iache kwanza maana hawa wanaume wala ubuyu na viepe wanapenda kujishongondoa
 
Kuna jamaa alitokea cape town alipofika DAR alisiktika sana. Alitamani shuguli yake iishe mapema.
 
Ukweli jiji la mwanza limekuwa la hovyo sana, pale buzuruga stand karibu na tfda kuna kashimo kadogo barabarani kameachwa tu hadi lami yote ibomoke sijui ndio wajenge mpya? Hovyo sana

Shua mkuu kwenye ukweli tusema mwanza pamekua pa ovyo sana pachafu sijui kwa nini tofauti na miaka kama mi tatu nyuma
 
We unazingua
 
I love lringa city, small but very smart and clean
Mmhh!. Kiukweli mm ni wa Iringa, nimekulia Iringa mjini home ni Njombe kwa sasa njia ya Lusisi kuelekea Igwachanya makao makuu ya H/W Wanging'ombe but to be fair and impartial Iringa big [emoji808] panaboa ile mbaya.
 
Sehemu nzuri ya kuishi kwa mtu anayejua maana ya maisha ni mkoa wa Kilimanjaro tu........





NB;
Ni mtazamo tu
Cha ajabu watu wa kilimanjaro wamekimbia mkoa wao wako huku mikoani wanapambana na maisha wanarudi kwao mwezi wa 12 tu pamoja uzuri wote wa mkoa huo.
 
Usiiponde Mwanza bure! Hata hiyo Dar unayoisifia mbona ya hovyo tu? Kuna changamoto gani iliyopo Mwanza Dar haipo? Mimi naona Dar inachoizidi Mwanza ni population na ukubwa in terms of sq kms. Vingine bora na Mwanza. Wewe leo umefika Mwanza lakini wenzio hata huko ulikotoka tunapafahamu! Karibu Mwanza
 
acha uwongo dar lux ya jana ililala shinyanga, sasa wewe sijui huo usiku wa saa saba ulifikaje na dar lux mwanza...
 
Kuna warembo pia usisahau tena asilia sio km wa daslam wanapendeza kichina china full kujisiliba mekapu halafu wakilowa jasho anajipaka eti wao ndo kujifuta ndo maana wananuka papuchi
Hahah.af we kapeace madem wa dar wamekufanyaje?

Maana sjawai ona umecomment + hata sku1...tatzo madem wa mkoa wamekomaa kapeace,sasa sjui ni barid ndo inawakausha ama nin..af weng hawaijui deodorant..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…