Namora
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 406
- 1,000
Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana, ni mchaMungu nk .
Nilienda kumuangalia nikaongea nae. Anatazamika na anapostika kiasi.
Wakuu naomba mnipe ushauri hivi mke wa kutafutiwa anaweza kua bora kuliko ambae nitajitafutia?
-Yaani naokopa kumkataa maana wajomba zake baba wananisisitiza sana kwamba kwa jinsi wanavyomjua yule binti nitakua nimepata mdada mwema.
- Je wakuu nifanyeje.