Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

Mimi hawakuishia kunichagulia tu, bali nililazimishwa kabisa.

Nilikataa sana na baadae ikanilazimu kuridhia.

Aisee!. Nikiri wazi kuwa hakika nimepata mwanamke wa tofauti kabisa. Mwanamke bora, mtiivu na hakika mwenye upendo uliopitiliza.

Sisemi kuwa huyo wako naye atakuwa bora, ila tabia ya mtu huonekana hadharani. Kinachobaki na kitakachoamua mustakabali wa baadae ni maono yake mwenyewe.

Jisomee hapa;
Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka
Ahsante kwa kunipa moyo mkuu, nilichopenda ni kua naweza kumkontrol. Afu yuko tayar kuishi life lolote nami
 
Kuna mabinti wanajua kuficha makucha. Anaweza onesha tabia njema nyumbani na akasifiwa na majirani lakini anayoyafanya shuleni yakawa ni zaidi ya ushetani.

Miaka miwili nyuma baba aliniambia mwanangu umri umesogea. Oa sasa. Kuna binti mzuri wa sura ana tabia njema na ameishika dini hasa. Wazazi wake tunawajua ni wema sana. Hakika ukioa pale hutokuja kujutia.

Niliona ni ajabu sana. Sikutilia maanani na kila kukicha nikiongea na baba hunisisitiza kuhusu yule binti. Alishafikia hatua ya kutaka tupeleke posa. Binti alikua mwanachuo na hakua anakaa hostel bali nyumbani. Ni chuo ambacho kipo karibu na nyumbani.

Lahaula! Baada ya kuchukua likizo ya kikazi miezi mitano baadae naskia yule binti kajazwa mimba na kijana anaesoma nae chuo na mimba akaikataa! Kumbe alishatoa mimba zaidi ya mbili za huyo bwana hii ya tatu akaona azae tu! Binti ni single mother. Mpaka hivi sasa mzee wangu habari za kunisisitiza nioe kwa kusifia wasifu wa mabinti za watu hana, tukiwasiliana tunazungumza mambo mengine kabisa!

My take: Oa unapoona wewe panafaa. Usioe kwa mashinikizo ya watu utakuja jutia.
 
Kuna mmoja yeye nilikua nimemtafuta mm. Dadawa rafiki yangu kaolewa na kaka yake wanaishi pamoja. So nikamchimba sister coz she knows me toka nina 12yrs akanipa uhakika binti tabia zimenyooka. Kama nipo serious niende nikaongee nae tuelewane.
-Huyu ni maji ya kunde, si mrefu kama mimi,
- tako la haja. I must admit ndio lilinivuta maana nilitaka wa kukula tu.
-Msabato
-She's 25

Ila huyu sister kanikazia kua kama namtaka basi iwe kuoa na sio kumchezea. Nikaona isiwe kesi ngoja niwe na japo mchumba.

Siku naenda kukutana nae tumekaa tunaongea chskwanza baada ya kujitambulisha aliuliza unafanya kazi gani, unaishi wapi, unaplan uniweke wapi ukinichukua. It wasn't a big deal to me. Niloona kawaida. Nikamjibu tu kua mm elimu yangu ni hii nafanya shughuli hiii.

Huyu niliyetafutiwa nilipoonana nae wala hakuuliza hayo yeye alitaka tu anione maana tayar wajomba walikua washaongea nae. Mm nilisema sijasoma sana nalima lima tu ndio shughuli yangu. Yeye alinijibu kua "Kulima haina shuda ndio maisha yake" Means that she's ready kuishi nami popote na kwa hali yoyote🤔
Hapo nilianza kumtafakari yule niliyetafuta mimi maana sidhani kama ana endurance katika magumu nayoweza pita nae maisha.

Huyu niliyetafutiwa
-Tunalingana urefu
-Mweupe
-Tako lipo ila limefichwa na ukijiji
-Inaonyesha akikas mjini atakua pisi kwelikweli.
-Ni dhehebu moja nami
-She's 19

Hapo sawa kabisa, usioe Kwa ajili ya sura, wanawake wanazeeka kama ilivyo Kwa wanadamu wote tu. Oa mwanamke ambaye atakua mlezi mwema Kwa Watoto wako na mshauri mwema Kwako, mtiifu na mcha MUNGU. Achana na uzuri wa sura angalia uzuri wa kiroho

oa tuu.

kuna mchangiaji hapo juu kakushauri uwe umechagua au umechaguliwa ndoa ni uwanja wa vita.

kwaiyoo usiogope kabisaa.
utakuja kutuelewa baadae.
Mtoa mada huyo binti kama watu wazima wamempitisha, muoe inaonekana anafaa.

Kuna mabinti wanajua kuficha makucha. Anaweza onesha tabia njema nyumbani na akasifiwa na majirani lakini anayoyafanya shuleni yakawa ni zaidi ya ushetani.

Miaka miwili nyuma baba aliniambia mwanangu umri umesogea. Oa sasa. Kuna binti mzuri wa sura ana tabia njema na ameishika dini hasa. Wazazi wake tunawajua ni wema sana. Hakika ukioa pale hutokuja kujutia.

Niliona ni ajabu sana. Sikutilia maanani na kila kukicha nikiongea na baba hunisisitiza kuhusu yule binti. Alishafikia hatua ya kutaka tupeleke posa. Binti alikua mwanachuo na hakua anakaa hostel bali nyumbani. Ni chuo ambacho kipo karibu na nyumbani.

Lahaula! Baada ya kuchukua likizo ya kikazi miezi mitano baadae naskia yule binti kajazwa mimba na kijana anaesoma nae chuo na mimba akaikataa! Kumbe alishatoa mimba zaidi ya mbili za huyo bwana hii ya tatu akaona azae tu! Binti ni single mother. Mpaka hivi sasa mzee wangu habari za kunisisitiza nioe kwa kusifia wasifu wa mabinti za watu hana, tukiwasiliana tunazungumza mambo mengine kabisa!

My take: Oa unapoona wewe panafaa. Usioe kwa mashinikizo ya watu utakuja jutia.

Ndoa ni game.

Ushauri konki sana huu mkuu
 
Mkuu wazazi wetu wanatupenda Sana na wanapenda kutuona tukifanikiwa katika maisha.Unavyoona hiyo hali ya kusisitizwa kuoa ni Kwa sababu wameona Kuna faida ya kuoa.Kwa upande wangu niseme tu navyoona Baba zetu au mama zetu Wanakuwa wanajua wenza Bora wa kuoa kuanzia tabia Hadi mwonekano na Wanakuwa na busara kubwa sana kwenda kuongea na familia ya Binti na swaga pia wanazo mpaka Binti anakubali Hadi familia yake.

Muoe huyo Binti anakufaa Kwanza Bado Damu yake inachemka Miaka 19.Na umeshasema anakuheshimu na yupo Tayari kuishi na wewe japo wewe ni mkulima. Hiyo ni bahati mkuu.Sina mengi nawatakia familia njema mzae mkajaze Dunia hii.
 
Kuna mmoja yeye nilikua nimemtafuta mm. Dadawa rafiki yangu kaolewa na kaka yake wanaishi pamoja. So nikamchimba sister coz she knows me toka nina 12yrs akanipa uhakika binti tabia zimenyooka. Kama nipo serious niende nikaongee nae tuelewane.
-Huyu ni maji ya kunde, si mrefu kama mimi,
- tako la haja. I must admit ndio lilinivuta maana nilitaka wa kukula tu.
-Msabato
-She's 25

Ila huyu sister kanikazia kua kama namtaka basi iwe kuoa na sio kumchezea. Nikaona isiwe kesi ngoja niwe na japo mchumba.

Siku naenda kukutana nae tumekaa tunaongea chskwanza baada ya kujitambulisha aliuliza unafanya kazi gani, unaishi wapi, unaplan uniweke wapi ukinichukua. It wasn't a big deal to me. Niloona kawaida. Nikamjibu tu kua mm elimu yangu ni hii nafanya shughuli hiii.

Huyu niliyetafutiwa nilipoonana nae wala hakuuliza hayo yeye alitaka tu anione maana tayar wajomba walikua washaongea nae. Mm nilisema sijasoma sana nalima lima tu ndio shughuli yangu. Yeye alinijibu kua "Kulima haina shuda ndio maisha yake" Means that she's ready kuishi nami popote na kwa hali yoyote🤔
Hapo nilianza kumtafakari yule niliyetafuta mimi maana sidhani kama ana endurance katika magumu nayoweza pita nae maisha.

Huyu niliyetafutiwa
-Tunalingana urefu
-Mweupe
-Tako lipo ila limefichwa na ukijiji
-Inaonyesha akikas mjini atakua pisi kwelikweli.
-Ni dhehebu moja nami
-She's 19
Huyu wa kijijini ndo mke mwema..wazazi Hua wanaona mbali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom