Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,048
Wee na iyo pisi yako mmelipiwa,
Kuna bazazi anawasubiri kilaji kikolee
Sent using Jamii Forums mobile app




Kwamba wote wafanywe chakula ama?
Wee na iyo pisi yako mmelipiwa,
Kuna bazazi anawasubiri kilaji kikolee
Sent using Jamii Forums mobile app




Enheeee!




Kahisi jamaa anaunga ungaHeheh
Utakaaje na dem wako halaf vinywaji viletwe from nowhere ni dharau kubwa sana sijui ameonekanaje mbele ya kadamnasi

Yeah, niliposema nakunywa bia za buku sh tano haikuwa bei bali ni indentity ili na nyie mjue ni bia ainq gani, .hivi Pic kali yenye jina utaipekela uswazi jmn
Dharau kubwaa asee
Usikubali kirahisi rahisiYeah, niliposema nakunywa bia za buku sh tano haikuwa bei bali ni indentity ili na nyie mjue ni bia ainq gani, .hivi Pic kali yenye jina utaipekela uswazi jmn
Hapa tulipo ni members tu, walinzi wangu wamemzuia ila analia anataka tuondoke...nimegoma
Nahisi kuna ujmbe wangu hapa
..subirini nawajuza
Mabelee hainaga shida...shida upo na mapene..nipo vizuri chief
Ulikua unakunywa balimi?Yeah, niliposema nakunywa bia za buku sh tano haikuwa bei bali ni indentity ili na nyie mjue ni bia ainq gani, .hivi Pic kali yenye jina utaipekela uswazi jmn
Hapa tulipo ni members tu, walinzi wangu wamemzuia ila analia anataka tuondoke...nimegoma
Nahisi kuna ujmbe wangu hapa
..subirini nawajuza
Dawa Ni kuhama kijiwe, Bia aziache Apo ApoDharau kubwaa asee
Hapo mkono lazma ulike km me ni mtata

Nilikua nachombeza madaMabelee hainaga shida...shida upo na mapene..nipo vizuri chief

Upo na pointi...demu anataka tusepe mie nataka kujua dharau hii imetoka wapi...analia kwamba am not carely..namnyamyasaUsikubali kirahisi rahisi
We ngoja alianzishe bwana kesho aamkie kwa pilato
Na manundu kibaoWe ngoja alianzishe bwana kesho aamkie kwa pilato
Jf kila mtu yupo vizuri mfukoni kasoro mimi