Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Kunae hii hapa ingawa umesema hutaki referral link ila hawa wapuuzi wana mwaga mi dollar tu sema wanadai ili u withdraw lazima ufikishe dollar 200 na kimsingi sio kazi ngumu kwani maswali yao ni marahisi alafu wanalipa dollar mbili per survey.

Msinishike mashati mimi mwenyewe ndio kwanza nimeanza masaa machache yaliyo pita ila mpaka saivi nina dollar 36 ila uhakika wa kuzi withdraw sina sababu sijafikisha bado kiwango wanacho hitaji ila nikIfikisha pia nitawapa mrejesho

Ila uzuri wake huweki hata senti tano yako ni kutumia tu bundle lako kupiga hela badala ya kwenda google kutafuta namba 30 kwa kirumi.

Link hii apa na picha nakuwekeeni muone

View attachment 2255258
Kitakachokukuta baki nacho..😂
 
Bro niamini mimi hapo unapoteza muda tu hakuna utachopata hata senti hamsini
 
Hapa kuna siku nlitoa comment kuhusu kazi ambazo napiga online kujipatia kipato, sasa naona idadi ya watu mnaokuja inbox ni wengi siwezi kufundisha mmojammoja,
so nimeamua kuandaa darasa kwa ambao watakuwa tayari.

Download telegram af jiunge kwenye hii channel ntatoa mafunzo bure kabisa.
Itakuchkua wiki moja mpaka tu kuweza kuelewa kila kitu.
Hutakosa 200,000 hadi 600,000 kwa mwezi.

Jiunge hapa

Biashara gani hiyo mkuu
 
Kunae hii hapa ingawa umesema hutaki referral link ila hawa wapuuzi wana mwaga mi dollar tu sema wanadai ili u withdraw lazima ufikishe dollar 200 na kimsingi sio kazi ngumu kwani maswali yao ni marahisi alafu wanalipa dollar mbili per survey.

Msinishike mashati mimi mwenyewe ndio kwanza nimeanza masaa machache yaliyo pita ila mpaka saivi nina dollar 36 ila uhakika wa kuzi withdraw sina sababu sijafikisha bado kiwango wanacho hitaji ila nikIfikisha pia nitawapa mrejesho

Ila uzuri wake huweki hata senti tano yako ni kutumia tu bundle lako kupiga hela badala ya kwenda google kutafuta namba 30 kwa kirumi.

Link hii apa na picha nakuwekeeni muone

View attachment 2255258
Hamna kitu hapa mzee,waulize wale wa idea debata sijui,jinsi walivyolizwa

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Nimekusoma.

Asante kwa wazo mkuu, lakini hilo sintolifanyia kazi kwasababu muda wote nakua nimekaa dukani.

Kama kuna njia nyingine ambayo unakuwa umekaa sehemu moja tu, naiomba
Hapo sasa unazungumzia kazi za IT, kubet na forex. Ambazo umesema huziwezi. Cha kufanya tafuta skills za IT au jifunze Forex/kubet, vinginevyo itakua ngumu
 
Kunae hii hapa ingawa umesema hutaki referral link ila hawa wapuuzi wana mwaga mi dollar tu sema wanadai ili u withdraw lazima ufikishe dollar 200 na kimsingi sio kazi ngumu kwani maswali yao ni marahisi alafu wanalipa dollar mbili per survey.

Msinishike mashati mimi mwenyewe ndio kwanza nimeanza masaa machache yaliyo pita ila mpaka saivi nina dollar 36 ila uhakika wa kuzi withdraw sina sababu sijafikisha bado kiwango wanacho hitaji ila nikIfikisha pia nitawapa mrejesho

Ila uzuri wake huweki hata senti tano yako ni kutumia tu bundle lako kupiga hela badala ya kwenda google kutafuta namba 30 kwa kirumi.

Link hii apa na picha nakuwekeeni muone

View attachment 2255258
Nakuhakikishia 100% hii pesa haitoki inapoteza muda tu
 
unapoteza muda hapo mzee
 
Inawezekana mkuu. Sema labda hauna rigid or solid trading rules. I talk from the experience.ila Haina haja Sana ya kujibizana ama Kama kuonyeshana umwamba fulani.if your signals generation is from mathematical technical indicator manaye you become objective and not subjective. The same lot the same sl the same direction the same pairs , you master one thing and you do it over and over and over again until it become second nature.
Nipe mimi hiyo kazi boss
 
Humu kazi ziko nyingi sana,ukikomaa masaa manne tu kwa siku ,kwa mwezi hukosi hadi laki tatu na kuendelea.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Habali kaka naomba nielekeze jinsi ya upatikanaji na hata ufanyaji kazi wake huko picowork niliwahi download app but akuna nilichoelewa
0764161048
 
Habari,
Video Subtittling ni moja Soft Skills ambayo inahitajika sana katika majukwaa ya kazi za mtandaoni (Freelancing Platforms), kwa anayehitaji kuanza Skills hii ya video Subtittling nimeandaa training fupi na rahisi Zaidi kuelewa.
images (92).jpeg

Mafunzo utalipia 20,000 TZS pesa ambayo ukiipata Skills hii utaweza kuipata ukifanya video ya lisaa limoja tu Upwork, au kwenye Agency.

Kutokana na Tangazo langu la mwanzo baadhi ya wadau waliomba Training iwe online maana hawatakuwa na muda, nimejaribu kuandaa lessons kupitia Telegramu Group nimejitahidi kuelezea kwa urahisi sana na kwa Kiswahili.

WhatsApp Group
Screenshot_20220608-062937.png

Lesson zipo mbili
1) Kuweka Subtittles kwenye video
2) Kusevu Subtittles kwenye video (Burning)

Nimeelekeza Software Tools ambazo unatakiwa kuwa nazo na jinsi zinavyofanya kazi.

Lesson 01 (Outlines)
*Jinsi ya kuweka video kwenye program
*Jinsi ya kuandika Subtittles
*Jinsi ya kuediti Subtittles (Font & Location)
*Jinsi ya kuseti muda (Start & End time)
*Work concistency

Lesson 02:
Baada ya kutengeneza Subtittle yetu tutaangalia jinsi ya kuiunganish video na Subtittles kwa kutumia Software tool husika.

Training yote nimeshaiandaa kwenye TELEGRAM GROUP mafunzo haya ya Skills hii ya Video Subtittling ni 20,000 Tzs tu ukipitia maelekezo na lessons zote utakuwa na uwezo wa kuweka subtitle kwenye video yeyote Duniani iwe Nyimbo, movie, iwe slow iwe speed.

NI PM FOR IT
 
Back
Top Bottom