Nipeni mawazo kwenye hili

Mahusiano ya ckuiz bila pesa hayaendi kbsa, ukishindwa kumpa hiyo elfu 25 just imetoka hiyo.Wanawake wa ckuiz hawanaga muda mchafu na mwanaume asiye na pesa.

Sasa ichukulie hiyo Kama changamoto.Achana na mapenzi kwanza Kisha utafute pesa kwa hasira.Ukishaanza kuwa nazo tu utaona mademu wenyewe wanakutafuta.
 
shukrani mkuu ni mwezi huu tu ndio mambo hayajaenda sawa..nikivuka nae hapa mambo yatakuwa poa tu
 
Sharti la kwanza, siku zote ukiandikiwa msg ya nikuombe ama nikwambie kitu, usiijibu ikiwezekana zima na simu endapo uwezo wako utakuwa ni wa kudema dema.
 
Mkuu huyu tuko kwenye mahusiano kama mwezi na ni mdada ana kazi yake nzuri tu

sasa nashanga kuniambia hana 25k

Ndio nawaza labda ananitafutia sababu nini
Toa hela, acha kutafuta sababu za kuachwa
 
Sharti la kwanza, siku zote ukiandikiwa msg ya nikiombe ama nikwambie kitu, usiijibu ikiwezekana zima na simu endapo uwezo wako utakuwa ni wa kudema dema.
Hahaha sawa ila sikutegemea kabisaa mkuu muda huo maana tulikuwa mada tofauti kabisa na ni leo asubuhi -sasa asubuhi kuomba hela wapi na wapi

Na mimi ndio nilianza kumtafuta
 
Kwa sababu nikimwambia ukweli kuwa sina nahisi tutakuwa tumefika mwisho
[emoji115][emoji115][emoji115]
kwani mliingia mkataba wa kupeana pesa??,why you man hamjiamini mwambie huna hela kwa kipindi hiki mbona simple tu sio wanawake wote wanataka hela kwa wanaume unaweza mwambia na akakuelewa na penzi likaendelea,ukimblock nafsi itakusuta alafu kwani hapajui kwako si atakuja kukudai hukohuko maghetoni [emoji28][emoji28]...afu acha kulala amka ukateseke [emoji28][emoji28]
 
Sharti la kwanza, siku zote ukiandikiwa msg ya nikiombe ama nikwambie kitu, usiijibu ikiwezekana zima na simu endapo uwezo wako utakuwa ni wa kudema dema.
[emoji28][emoji28][emoji28] fala sana wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…