Nipe jibu

Nipe jibu

Kwa wale wan aojua lugha ya King'eng'e (English) Badili sentensi ifuatayo iwe kwa lugha ya kiingereza

"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"

Nipati jibu hapo!!!
mwalim wangu aliniambia suala lolote ambalo linamalizia kwa kuuliza ngapi? basi ujue linahitaji calculation. acha nikabebe kalkuleta yangu nikuje. stay tuned
 
mm nilisoma kanyumba bana ngoja niwaache wenyewe nione jibu
 
Ukisema uibadilishe kama ilivyo utaishia kuongea broken. Unaweza ukasema "father, among your children in which position am I?" ndio atakujibu, "you are first", you're fifth", "you're third" etc.
 
Ukisema uibadilishe kama ilivyo utaishia kuongea broken. Unaweza ukasema "father, among your children in which position am I?" ndio atakujibu, "you are first", you're fifth", "you're third" etc.

Na akijibiwa "low position"! Nakaa kando kabisa.
 
Code:
Kwa wale wan aojua lugha ya King'eng'e (English) Badili sentensi ifuatayo iwe kwa lugha ya kiingereza

"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"

Nipati jibu hapo!!!
father i is child of you how many?
 
Darasani tulifundishwa kucount one,two,three e.t.c,tukakaambiwa tukariri definition za civics,chemistry,biology.hiyo kitu sikukutana nayo hadi niliposhindwa kufikisha wastan wa 30 form two.
 
Back
Top Bottom