Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,318
- 64,483
Kuitwa baba na mpenzi wako raha sana.
Nikimuongelesha tu, anaitikia ndio baba.
Nikimtumia kasalio tu, anasema asante baba.
Nikimpigia simu akiwa kazini, anasema nipo kazini baba.
Sasa najiuliza, hii kuitwa baba ni kwa sababu ya kumpa kazaigoti au amenogewa na mapenzi yangu?
Mabingwa wa mahusiano, nipeni jibu.