Pinda ni Fisadi tu hana mpango wowote hana akili zake hazina tofauti na Makamba:coffee:
kwa kweli mtoto wa mkulima ni kiongoz pekee ambaye Watanzania walikuwa na imani nae, lakin siku za karibun ameanza kuwatia watanzania wasiwasi, kuna tetesi kwamba katika maeneo ya nje ya mji wa Dodoma ana Ranchi yenye takriban ekari 50 na ina ng'ombe wasiopungua 400 na katika maeneo ya kigamboni ana shamba lenye takriban ekari 15 na amelizungushia ukuta wa matofali ambao ungeweza kujenga shule ya kisasa kabisa. je huu ni ubepari (ufisadi) au ndo sifa ya mtoto wa mkulima?
Asante kwa kuliona hilo wahamasishe na ndugu zako walio vijijini ili itakapofika hiyo 2015 tuiondoe ccm madarakani tofauti na hapo tutalalamika sn bila matumaini yoyote
Safi sana mkuu mpaka kieleweke pamoja sanamimi najitahidi sana kuwahamasisha usiku na mchana.
hebu acha upuuuzi wwe.................ka umekosa vya kuchangia tulia na utazame tuNi mtoto wa mkulima kweli. Hajajilimbikizia mali (siyo fisadi). Ni mfumo (system) wa serkali ya CCM ndiyo unamfanya atende atendavyo. Hata wewe ukiingia na kubaki humo utafanya afanyayo Pinda, ingawa kwa shingo upande.
inasemekana mtoto wa mkulima anayejiita hivyo anamiliki hisa kunako kampuni ya sumry kwa kiasi kikubwa sana kupitia kampuni moja hiv iliyoko arusha