Nionavyo mimi: Pinda si mtoto wa mkulima

Nani msafi kwenye nchi hi ya Tanganyika? Wote walishachafuka zamani sema tu wapo wanaochafuka na kupata omo haraka
 
Kweli sikujua kabisa, na wala sikutegemea kama naye ni walewale mafisadi, nimekata tamaa kabisa, niliyemtegemea kumbe siye. Yeye anafikiri ufisadi ni kukwapua mapesa na kuingia mikataba ya kimangungo tu hajui kwamba hata kutumia rasilimali za taifa kwa faida yake ndo ufisadi mbaya zaidi. Nitafuatilia zaidi kuona kama mafundi wake watatoka jkt au magereza.
 
Mi nimefika kibaoni hivi karibuni na nimekuta wameshazungusha fensi eneo ambalo atajengewa nyumba nje kidogo ya eneo ambalo series ya rest house zimejengwa. Sijakuta wanajeshi lakini nimegundua kule Mpanda kuna activities nyingi sana za magari ya jeshi kwani nimekutana nayo karibu 30
 
"Tatizo watanzania ni wavivu wa kufikiria, na wana wivu wa kike" - Benjamini W Mkapa, rais wa 3 wa Tanzania
 
Back
Top Bottom