Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,109
- 18,326
Tanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000.
Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya usanifu wa viwanja kwa ajili yamichoro ya ujenzi wa viwanja hivyo vya kisasa.
Mikoa hiyo ni Mwanza, Arusha, Dodoma, Mtwara, Mbeya na Unguja.
Hili limekuja baada ya Tanzania kuwa ni mwandaaji wa michuano ya afcon 2027.