Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu

Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu

Pamoja sana mchungaji, hata mimi najua wengi ni vijana wadogo wanaodhani mahusiano ni kugegedana tu
Usiwalaumu dada

Wengi humu ni vijana wadogo hawana uwezo wa kuyatofautisha hayo

Wenyewe wakisikia mahusiano au urafiki wanajua ni kugegedana tu

Shame on them!
 
Kwanza na mshukuru Mungu kwa rehema na baraka mbali mbali anazonijalia katika maisha yangu kila iitwapo leo.

Wana-MMU ninakuja kwenu nikihitaji ushauri juu ya hili suala, kiukweli maisha ya upweke yamenichosha, hii ni baada ya kudivorce na aliyekuwa mume wangu 2007. Mimi ni mama nina watoto wawili, 36yrs, mkristo. Nina nyumba yangu mwenyewe na asset kadhaa, baada ya kuchoshwa na upweke nimeona ni wakati muafaka wa kupata mwenzi mwingine. Nayamudu maisha yangu vizuri tu tatizo ni huo upweke tu, so naombeni mnishauri kuhusu hawa watu hapa chini.

1. Huyu ni mkaka 38yrs hajawahi kuoa ila ana mtoto mmoja, ni mafanyabiashara lakini pia ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini. Ana kiwanja, hajajenga so anaishi nyumba ya kupanga, ameonesha nia ya dhati ya kutaka kuishi na mimi pamoja na watoto wangu ila atapenda pia nimzalie watoto wawili. Nikifikiria hapo pa kuzaa watoto wawili nachanganyikiwa kabisa

2. Huyu ni mkaka, 36yrs, hajawahi kuoa ila na mtoto mmoja, ni mwajiriwa kwenye NGO na anasoma online chuo kikuu kimoja huko marekani. Ndio kwanza ameanza ujenzi wa nyumba yake, ananipenda mimi na watoto wangu, nae anapenda Mungu akijalia nimzalie watoto wawili. Hapo kwenye kuzaa nachanganyikiwa lkn pia namuona bado ana ujana mwingi

3. Huyu ni baba, 45yrs, ana familia yake, ana mke na watoto 3, ameajiriwa ofisi ya mtu binafsi, ana nyumba kadhaa, ananipenda kwa dhati, anaipenda familia yangu sana na anajitoa kwa hali na mali, kama tukioana anapenda nimzalie mtoto mmoja tu. Naweza kumzalia mtoto mmoja kama Mungu atapenda, tatizo ni hiyo familia na dini, yeye ni muislam, so anataka mimi niwe bi mdogo

Ushauri wako please, ukiona haikuhusu tafadhali potezea

Kweli hii nayo kali...huwa unawahudumia vipi wote watatu?ratiba za kutoka nao,,,,iyo option ya tatu ovyo kabisaaa!!Hao wawili wajuu yupo umpendae olewa nae, vinginevyo hujapenda ila unasukumwa na upweke
 
Unajua sababu kwanini nilidivorce kaka? mbona unaconclude, unajuaje kama ndio nilikuwa na matatizo hadi ndoa ikavunjwa? Fikir kabla hujaandika. Na kwa taarifa yako sina shida ya hela kama unavyodhani, soma hapo juu unielewe nataka nini
USHAURI:
Wewe si mtu wa kuolewa ni sawa na mapambo kwenye nyumba siyo kila
mwanamke anafaa kuwa mke
kwanza unaonekana unapenda hela kuliko uelewa wa mtu kumbuka hela ni
mapito tu lakini akili ya mtu ni kitu cha milele
kama mwanzo uliachika kwa sababu ya kwako usiposahihisha makosa yako ya
mwanzo hakuna mwanaume atakayekubali ujinga sasa hawa watatu umeona
ndio uwataje je ambao umewaacha baada ya mchujo unaonekana unapenda
michepuko
 
4.Achana nao wote,nichague mimi,nina miaka 39,nina kaz nzuri,sina mke ila nina watoto wa kiume wa 3 wote wanasoma nje ya nchi,nina raslimali za kutosha dar na arusha,nina kampuni yangu ambayo ntakuweka uwe mkurugenzi,najua kulea na kutunza mke,nina upendo wa dhati,mkiristo mwenzako,nichague mimi pls mama.

Mwisho,wewe una shda,unahitaji maombi,nichague mimi achana na makanjanja wengne.

Umeulizwa jaman heeeeeee.!!!!!
 
Sihitaji ukurugenzi wala mali za mtu, nina kazi yangu na mali tayari ninazo, ninahitaji mtu wa kuishi nae, kushare na kubadilisha mawazo, umri nilionao bado nahitaji liwazo la moyo na kimwili pia, Sina shida na mali ya mtu kwakweli, upo Kichwa Ndio Mtu?
4.Achana nao
wote,nichague mimi,nina miaka 39,nina kaz nzuri,sina mke ila nina watoto
wa kiume wa 3 wote wanasoma nje ya nchi,nina raslimali za kutosha dar
na arusha,nina kampuni yangu ambayo ntakuweka uwe mkurugenzi,najua kulea
na kutunza mke,nina upendo wa dhati,mkiristo mwenzako,nichague mimi pls
mama.

Mwisho,wewe una shda,unahitaji maombi,nichague mimi achana na makanjanja
wengne.
 
4.Achana nao wote,nichague mimi,nina miaka 39,nina kaz nzuri,sina mke ila nina watoto wa kiume wa 3 wote wanasoma nje ya nchi,nina raslimali za kutosha dar na arusha,nina kampuni yangu ambayo ntakuweka uwe mkurugenzi,najua kulea na kutunza mke,nina upendo wa dhati,mkiristo mwenzako,nichague mimi pls mama.

Mwisho,wewe una shda,unahitaji maombi,nichague mimi achana na makanjanja wengne.
he he he loh raha ya ngoma uingie uicheze kweli!
 
Kwanza na mshukuru Mungu kwa rehema na baraka mbali mbali anazonijalia katika maisha yangu kila iitwapo leo.

Wana-MMU ninakuja kwenu nikihitaji ushauri juu ya hili suala, kiukweli maisha ya upweke yamenichosha, hii ni baada ya kudivorce na aliyekuwa mume wangu 2007. Mimi ni mama nina watoto wawili, 36yrs, mkristo. Nina nyumba yangu mwenyewe na asset kadhaa, baada ya kuchoshwa na upweke nimeona ni wakati muafaka wa kupata mwenzi mwingine. Nayamudu maisha yangu vizuri tu tatizo ni huo upweke tu, so naombeni mnishauri kuhusu hawa watu hapa chini.

1. Huyu ni mkaka 38yrs hajawahi kuoa ila ana mtoto mmoja, ni mafanyabiashara lakini pia ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini. Ana kiwanja, hajajenga so anaishi nyumba ya kupanga, ameonesha nia ya dhati ya kutaka kuishi na mimi pamoja na watoto wangu ila atapenda pia nimzalie watoto wawili. Nikifikiria hapo pa kuzaa watoto wawili nachanganyikiwa kabisa

2. Huyu ni mkaka, 36yrs, hajawahi kuoa ila na mtoto mmoja, ni mwajiriwa kwenye NGO na anasoma online chuo kikuu kimoja huko marekani. Ndio kwanza ameanza ujenzi wa nyumba yake, ananipenda mimi na watoto wangu, nae anapenda Mungu akijalia nimzalie watoto wawili. Hapo kwenye kuzaa nachanganyikiwa lkn pia namuona bado ana ujana mwingi

3. Huyu ni baba, 45yrs, ana familia yake, ana mke na watoto 3, ameajiriwa ofisi ya mtu binafsi, ana nyumba kadhaa, ananipenda kwa dhati, anaipenda familia yangu sana na anajitoa kwa hali na mali, kama tukioana anapenda nimzalie mtoto mmoja tu. Naweza kumzalia mtoto mmoja kama Mungu atapenda, tatizo ni hiyo familia na dini, yeye ni muislam, so anataka mimi niwe bi mdogo

Ushauri wako please, ukiona haikuhusu tafadhali potezea

Ngoja ni-google kwanza.
 
Bado ni marafiki tu, tena marafiki wa kawaida, ndo nikimpata mmoja atakuwa mchumba then mume

Khaaaa!!!Kumbe wewe ndio unawafukuzia hujawapata sasa ushauri wa nini??Ongeza mitego na pozi za hatari kwa yule unayemzimia sana
 
Pole bidada!
Kabla hujachagua tafadhari jiulize chanzo cha ku-divorce; ni wewe au x-husband?
Kama ni wewe, umebadilika?
Kama hujabadilika, hao wa3 wako tayari kuvumilia mapungufu yako?
Kama tatizo lilikuwa mmeo, je hao wachumba hawana hizo tabia, kama wanazo uko tayari kuwavumilia?
***Mind you, ndoa ya kikristu haivunjwi ila kwa kifo***
 
Hivi ni wachungaji wa kanisa gani hao waliokuruhusu utafute bwana mwingine wakukuweka ndani wakati yule uliyefunga ndoa naye awali yu ngali hai?

Je hawajakueleza ya kwamba hilo utakalo kufanya mbele za Mungu lahesabika kama zinaa?

Au hata wewe mwenyewe kwa utashi wako huoni kama hilo ni kosa kwa kukiuka kile kiapo cha hadi kifo kiwatenganishe?

Je hao unaotaka wakuoe nao wakigeuka mbogo nako huko utakimbilia kuachika na kutafuta bwana mwingine?

Ndio shida hii ya kukimbilia kuolewa na mtu ambaye huenda Mungu hakupanga awe mumeo isipokuwa kwa kiherehere cha kibinadamu ukafanya ya kufanya.

Mtu yoyote ataye kushauri uolewe tena wakati mumeo wa ndoa ya mwanzo yu ngali hai basi mtu huyo atakuwa kakupotosha na kukufanya ushiriki zinaa.

siwezi kurudiana nae ever, kama wachungaji na maaskofu walimshindwa, mheshimiwa hakimu akamushindwa mie nitamuweza wapi? haiwezitokea kurudina
 
Dawa ya upweke ni kuolewa?
 
chuma chakavu, thubutu! Umezoea kugegeda ovyo, sio wote tunaogegedwa ovyo kama wewe unavyogegeda ovyo

hapa unajidai kuandika hivyo ila ukweli ndo huo ina maana toka uachane na mumeo toka 2007 hujagonga show?ndo maana nasema hao wote wamekulala ila unajitahidi kuwapanga aisee bora jamaa mkaachana nae maana akajionea atakufa bure
 
Jambo usislolijua ni sawa na usiku wa giza, ni bora kukaa kimya sio lazima kuchangia kama huna cha maana cha kusema. Uko kingono ngono thats why na mawazo yako ni ya kingono ngono na unawaza ngono tu, pole!
hapa unajidai kuandika
hivyo ila ukweli ndo huo ina maana toka uachane na mumeo toka 2007
hujagonga show?ndo maana nasema hao wote wamekulala ila unajitahidi
kuwapanga aisee bora jamaa mkaachana nae maana akajionea atakufa
bure
 
Nakuheshimu sana Dr, kwa hili labda uende kwenye maandiko tu, kasome Wakoritho wa kwanza, zipo sababu za kuvunja ndoa
Hivi ni wachungaji wa kanisa
gani hao waliokuruhusu utafute bwana mwingine wakukuweka ndani wakati
yule uliyefunga ndoa naye awali yu ngali hai?

Je hawajakueleza ya kwamba hilo utakalo kufanya mbele za Mungu
lahesabika kama zinaa?

Au hata wewe mwenyewe kwa utashi wako huoni kama hilo ni kosa kwa
kukiuka kile kiapo cha hadi kifo kiwatenganishe?

Je hao unaotaka wakuoe nao wakigeuka mbogo nako huko utakimbilia
kuachika na kutafuta bwana mwingine?

Ndio shida hii ya kukimbilia kuolewa na mtu ambaye huenda Mungu
hakupanga awe mumeo isipokuwa kwa kiherehere cha kibinadamu ukafanya ya
kufanya.

Mtu yoyote ataye kushauri uolewe tena wakati mumeo wa ndoa ya mwanzo yu
ngali hai basi mtu huyo atakuwa kakupotosha na kukufanya ushiriki
zinaa.
 
Ila watu tumerahisisha sana ngono. Nimesoma baadhi ya majibu naona kuna watu wengi tu wameshamhukumu mleta mada kuwa tayari anagegedwa na hao jamaa watatu. Mimi nimebaki najiuliza tu, hivi ni kwa nini kuna watu wengi wamefikia hitimisho hilo, hivi siku hizi haiwezekani kuwa na uhusiano bila ngono??
 
Back
Top Bottom