Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu

Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu

Kweli mafiga mawili hayaivishi chakula, nina imani wote hao hujawapa pipi
 
Wote wa3 unawapangaje? Huna sifa ya kuolewa wewe. We ni kahaba mzoefu
 
naomba unielewe, sijalala hata na mmoja hapo, ni watu walioniapproach kama ambavyo mtu mwingine yeyote anaweza kuapprochiwa, so nimewashawasoma wote n still learning more from them
Duhh!! Wewe unao watatu na
jamaa zako pia wakiwa na watatu kama wewe huo mchepuka ukipiga shoti
hakuna kusalimika...........by the way sikiliza moyo wako
 
kaka sijalala hata na mmoja hapo, nimewafanya kama marafiki zangu tu na mwisho wa siku nitamchagua mmoja thats why nimewaleta hapa, kila mtu na sifa zake
Wote wa3 unawapangaje? Huna sifa ya kuolewa wewe. We ni kahaba mzoefu
 
Baki njia kuu michepuko sio dili, inamaana hao wote wa tatu unachepuka nao. smh
 
Ahsante Lara 1
Wa 3 NDO MPANGO MZIMA!

We 36yrs uanze tena uendekeza stress! Mie umenizidi zaidi ya miak 10 ila
stress navoziogopa???????????? Akuuuuuuuu! We mtu 38 HAJAJENGA?
SERIOUSLY????????????? NA ANA KAZI????????????????/ HATA MABWE
PANDE??????????

Mxiuuuuuuuuu! Utajikuta UNAFUGA JITU ZIMAAA wakati hata paka tu
umeshindwakumfuga! Olewa na Zee hilo, ujipumzishe majukumu,na stress,
mzeeke kwa amai. Vijana hao watakufuja fuja uache kuwalea wanao kibili
gates buree ujitwishe misalab yao.
 
Kwanza na mshukuru Mungu kwa rehema na baraka mbali mbali anazonijalia katika maisha yangu kila iitwapo leo.

Wana-MMU ninakuja kwenu nikihitaji ushauri juu ya hili suala, kiukweli maisha ya upweke yamenichosha, hii ni baada ya kudivorce na aliyekuwa mume wangu 2007. Mimi ni mama nina watoto wawili, 36yrs, mkristo. Nina nyumba yangu mwenyewe na asset kadhaa, baada ya kuchoshwa na upweke nimeona ni wakati muafaka wa kupata mwenzi mwingine. Nayamudu maisha yangu vizuri tu tatizo ni huo upweke tu, so naombeni mnishauri kuhusu hawa watu hapa chini.

1. Huyu ni mkaka 38yrs hajawahi kuoa ila ana mtoto mmoja, ni mafanyabiashara lakini pia ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini. Ana kiwanja, hajajenga so anaishi nyumba ya kupanga, ameonesha nia ya dhati ya kutaka kuishi na mimi pamoja na watoto wangu ila atapenda pia nimzalie watoto wawili. Nikifikiria hapo pa kuzaa watoto wawili nachanganyikiwa kabisa

2. Huyu ni mkaka, 36yrs, hajawahi kuoa ila na mtoto mmoja, ni mwajiriwa kwenye NGO na anasoma online chuo kikuu kimoja huko marekani. Ndio kwanza ameanza ujenzi wa nyumba yake, ananipenda mimi na watoto wangu, nae anapenda Mungu akijalia nimzalie watoto wawili. Hapo kwenye kuzaa nachanganyikiwa lkn pia namuona bado ana ujana mwingi

3. Huyu ni baba, 45yrs, ana familia yake, ana mke na watoto 3, ameajiriwa ofisi ya mtu binafsi, ana nyumba kadhaa, ananipenda kwa dhati, anaipenda familia yangu sana na anajitoa kwa hali na mali, kama tukioana anapenda nimzalie mtoto mmoja tu. Naweza kumzalia mtoto mmoja kama Mungu atapenda, tatizo ni hiyo familia na dini, yeye ni muislam, so anataka mimi niwe bi mdogo

Ushauri wako please, ukiona haikuhusu tafadhali potezea

Chagua mwenye ipad,iphone, android, laptop ya apple, simu ya scrin tachi!!! Angalia mwenye fweza mama!! Za kuambiwa changanya na zako!!
 
Ahsante kwa ushauri timtim
Ijapokuwa awali nilikusoma
kuwa uko 36 yrs old nikasema vipi sasa mtu mzima anafuta ushauri, baada
ya kusoma maelezo yako nikafahamu kuwa umetatizika mahala. Naelewa kuwa
wote unawapenda sana maana kila moja kati ya hao watatu kuna mambo kwao
yamekuvutia. Hata na hivyo madamu umeomba msaada wa dhati kutoka kwa
wenzio, mimi naona yule wa mwisho No. 3 mwenye umri wa miaka 45 cv yake
iko poa imekamilika. Hilo la kuwa ana familia nyengine sio
tatizo.
 
Ahsante kwa ushauri
Kuolewa sio solution ya matatizo yako ya upweke
Unaonekana una mvuto maana hapo tayari una wanaume watatu kwa mpigo sijahesabu wale unaowatolea nje kila siku

i think bora ulee watoto wako ila tafuta mwanaume asiyeweza kuzalisha ili umpe furaha ya kuwa baba
 
Nimekusoma city hunter, thanks!
Mama naniliu kwa age
uliyofikia dnt expect happieness toka kwa mwanaume jxt pray itokee bt
isipotokea dnt regret..Hao wanaume wa3 wote wapo aftr mgegedo, kama bdo
hawajapata..kwa age yako kuzaa ni jambo la kumuomba mungu pia.And bad z
wote wanataka m/watoto..ushauri,kama una uwezo mzur wa kuwahudumia
watoto wako, fanya hvyo..
note:upweke ukikuzidi chagua 1 uwe unampa friend match, usisahau
condom..
Conclution:Usiweke mkataba ulio rasmi na yeyote.
 
Kwanza na mshukuru Mungu kwa rehema na baraka mbali mbali anazonijalia katika maisha yangu kila iitwapo leo.

Wana-MMU ninakuja kwenu nikihitaji ushauri juu ya hili suala, kiukweli maisha ya upweke yamenichosha, hii ni baada ya kudivorce na aliyekuwa mume wangu 2007. Mimi ni mama nina watoto wawili, 36yrs, mkristo. Nina nyumba yangu mwenyewe na asset kadhaa, baada ya kuchoshwa na upweke nimeona ni wakati muafaka wa kupata mwenzi mwingine. Nayamudu maisha yangu vizuri tu tatizo ni huo upweke tu, so naombeni mnishauri kuhusu hawa watu hapa chini.

1. Huyu ni mkaka 38yrs hajawahi kuoa ila ana mtoto mmoja, ni mafanyabiashara lakini pia ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini. Ana kiwanja, hajajenga so anaishi nyumba ya kupanga, ameonesha nia ya dhati ya kutaka kuishi na mimi pamoja na watoto wangu ila atapenda pia nimzalie watoto wawili. Nikifikiria hapo pa kuzaa watoto wawili nachanganyikiwa kabisa

2. Huyu ni mkaka, 36yrs, hajawahi kuoa ila na mtoto mmoja, ni mwajiriwa kwenye NGO na anasoma online chuo kikuu kimoja huko marekani. Ndio kwanza ameanza ujenzi wa nyumba yake, ananipenda mimi na watoto wangu, nae anapenda Mungu akijalia nimzalie watoto wawili. Hapo kwenye kuzaa nachanganyikiwa lkn pia namuona bado ana ujana mwingi

3. Huyu ni baba, 45yrs, ana familia yake, ana mke na watoto 3, ameajiriwa ofisi ya mtu binafsi, ana nyumba kadhaa, ananipenda kwa dhati, anaipenda familia yangu sana na anajitoa kwa hali na mali, kama tukioana anapenda nimzalie mtoto mmoja tu. Naweza kumzalia mtoto mmoja kama Mungu atapenda, tatizo ni hiyo familia na dini, yeye ni muislam, so anataka mimi niwe bi mdogo

Ushauri wako please, ukiona haikuhusu tafadhali potezea

Sina hakika kama unawapenda wote watatu!

Nakuona kama mwanaume fulani hivi mwenye uwezo anayeamua kuwatumia wanawake kadhaa kwa lengo la kukidhi haja zake za kimwili kwa kuwa ana uwezo.

Kadharika, hata wewe unawatumia tu hao wanaume.

Tangu lini mtu mwanamke au mwanaume akawapenda watu watatu kwa wakati mmoja kwa kiwango kinachofanana?

Bahati mbaya zaidi wewe ni mkristo, lakini mbaya zaidi ni mwanamke!

Mwogope Mungu, unafanya uzinzi na kuwatumia wanaume watatu kwa wakati mmoja ili kutimiza tamaa zako za kimwili!
 
Barikiwa mdogo wangu, ahsante
ndoa n aman na upendo n
co mali au umackini wa m2 ila ndoa bila maombi nixawa n kazi
bure....muombe mungu atakuonesha yupi sahh kat y hao ukitumia macho y
kibinadamu utaumia my ccta.
 
siwezi kurudiana nae ever, kama wachungaji na maaskofu walimshindwa, mheshimiwa hakimu akamushindwa mie nitamuweza wapi? haiwezitokea kurudina
Ina maana hata siku akija kusalimia watoto hutaweza kumpa papuchi? Na kukumbushiana enzi zenu zileee? Nadhani unakumbuka mlivyokuwa mnakukuruka.
 
Back
Top Bottom