Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu

Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu

usiusemee moyo wa mtu kaka/dada

mi ni ME,afu mbona umekuja huku kuomba watu wakuchagulie moyo wako?hivyohivyo tunausemea moyo wako,yote kwa yote dunia hii leo nani akubali kununua gari chakavu lililotumika tena tanganyika bila kulitest?thubutu!ndo maana nasema hao wadau wameisha kula zigo.
 
tuliachana kwa kufuata taratibu zote kabisa
Pole na mitahani wa mwanzo
ulifunga naye ndoa au mulizoeana mkazaa mkawa km mume na mke?
Na kuachana km mlifunga je mlipitia taratibu zote?

Ushauri wangu kwako Angalia tabia yake na uchunguze vizuri au wawili wa
mwanzo na uone kama na wewe una penda au kuvutiwa na mmoja wao toka
moyoni ndiyo mkaribishe kwenye ♥♥ ya maisha yenu

Kila la heri
 
mawazo mgando, kwa akili zako unadhani naweza kuwavulia pichu wate watatu, wote ni marafiki zangu, na kwa vile bado sijaamua niolewe na yupi thats why naomba ushauri
Baki njia kuu michepuko sio dili, inamaana hao wote wa tatu unachepuka nao. smh
 
Sikushauri uolewe na huyo mwenye ujana mwingi

Sikushauri uolewe na mume wa mtu

Huyo anaehitaji uzae nao watoto 2 jaribu kuongea nae ili apunguze idadi ya watoto kwa maana inaonekana kuza mtoto mmoja kwako sio tatizo

Kama akigoma tiupa kule tafuta mtu ambae hataki kuzaa au anaetaka uzae mtoto mmoja tu,mbona wapo wengi sana?
 
Hivi kuwa na urafiki na watu 3 ni lazima uwavulie chupi? au wewe mtu akikutaka tu na kukuambia anataka kukuoa basi unamvulia chupi? tatizo hapa watu wamekimbilia kwenye kugegeda badala ya kutoa ushauri. Huwezi kukurupuka tu kuolewa au kumuoa mtu bila kumjua so ni lazima muanze na urafiki, then uchumba mwisho ndio ndoa
Sasa imekuaje ue na mahusiano na wote hao?
 
Ahsante mchungaji kwa ushauri
Sikushauri uolewe na huyo
mwenye ujana mwingi

Sikushauri uolewe na mume wa mtu

Huyo anaehitaji uzae nao watoto 2 jaribu kuongea nae ili apunguze idadi
ya watoto kwa maana inaonekana kuza mtoto mmoja kwako sio tatizo

Kama akigoma tiupa kule tafuta mtu ambae hataki kuzaa au anaetaka uzae
mtoto mmoja tu,mbona wapo wengi sana?
 
chuma chakavu, thubutu! Umezoea kugegeda ovyo, sio wote tunaogegedwa ovyo kama wewe unavyogegeda ovyo
mi ni ME,afu mbona umekuja
huku kuomba watu wakuchagulie moyo wako?hivyohivyo tunausemea moyo
wako,yote kwa yote dunia hii leo nani akubali kununua gari chakavu
lililotumika tena tanganyika bila kulitest?thubutu!ndo maana nasema hao
wadau wameisha kula zigo.
 
Hivi kuwa na urafiki na watu 3 ni lazima uwavulie chupi? au wewe mtu akikutaka tu na kukuambia anataka kukuoa basi unamvulia chupi? tatizo hapa watu wamekimbilia kwenye kugegeda badala ya kutoa ushauri. Huwezi kukurupuka tu kuolewa au kumuoa mtu bila kumjua so ni lazima muanze na urafiki, then uchumba mwisho ndio ndoa

Usiwalaumu dada

Wengi humu ni vijana wadogo hawana uwezo wa kuyatofautisha hayo

Wenyewe wakisikia mahusiano au urafiki wanajua ni kugegedana tu

Shame on them!
 
Kwanza na mshukuru Mungu kwa rehema na baraka mbali mbali anazonijalia katika maisha yangu kila iitwapo leo.

Wana-MMU ninakuja kwenu nikihitaji ushauri juu ya hili suala, kiukweli maisha ya upweke yamenichosha, hii ni baada ya kudivorce na aliyekuwa mume wangu 2007. Mimi ni mama nina watoto wawili, 36yrs, mkristo. Nina nyumba yangu mwenyewe na asset kadhaa, baada ya kuchoshwa na upweke nimeona ni wakati muafaka wa kupata mwenzi mwingine. Nayamudu maisha yangu vizuri tu tatizo ni huo upweke tu, so naombeni mnishauri kuhusu hawa watu hapa chini.


1. Huyu ni mkaka 38yrs hajawahi kuoa ila ana mtoto mmoja, ni mafanyabiashara lakini pia ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini. Ana kiwanja, hajajenga so anaishi nyumba ya kupanga, ameonesha nia ya dhati ya kutaka kuishi na mimi pamoja na watoto wangu ila atapenda pia nimzalie watoto wawili. Nikifikiria hapo pa kuzaa watoto wawili nachanganyikiwa kabisa

2. Huyu ni mkaka, 36yrs, hajawahi kuoa ila na mtoto mmoja, ni mwajiriwa kwenye NGO na anasoma online chuo kikuu kimoja huko marekani. Ndio kwanza ameanza ujenzi wa nyumba yake, ananipenda mimi na watoto wangu, nae anapenda Mungu akijalia nimzalie watoto wawili. Hapo kwenye kuzaa nachanganyikiwa lkn pia namuona bado ana ujana mwingi

3. Huyu ni baba, 45yrs, ana familia yake, ana mke na watoto 3, ameajiriwa ofisi ya mtu binafsi, ana nyumba kadhaa, ananipenda kwa dhati, anaipenda familia yangu sana na anajitoa kwa hali na mali, kama tukioana anapenda nimzalie mtoto mmoja tu. Naweza kumzalia mtoto mmoja kama Mungu atapenda, tatizo ni hiyo familia na dini, yeye ni muislam, so anataka mimi niwe bi mdogo

Ushauri wako please, ukiona haikuhusu tafadhali potezea

USHAURI:
Wewe si mtu wa kuolewa ni sawa na mapambo kwenye nyumba siyo kila mwanamke anafaa kuwa mke
kwanza unaonekana unapenda hela kuliko uelewa wa mtu kumbuka hela ni mapito tu lakini akili ya mtu ni kitu cha milele
kama mwanzo uliachika kwa sababu ya kwako usiposahihisha makosa yako ya mwanzo hakuna mwanaume atakayekubali ujinga sasa hawa watatu umeona ndio uwataje je ambao umewaacha baada ya mchujo unaonekana unapenda michepuko
 
4.Achana nao wote,nichague mimi,nina miaka 39,nina kaz nzuri,sina mke ila nina watoto wa kiume wa 3 wote wanasoma nje ya nchi,nina raslimali za kutosha dar na arusha,nina kampuni yangu ambayo ntakuweka uwe mkurugenzi,najua kulea na kutunza mke,nina upendo wa dhati,mkiristo mwenzako,nichague mimi pls mama.

Mwisho,wewe una shda,unahitaji maombi,nichague mimi achana na makanjanja wengne.
 
Nakushauri usiolewe na yeyote kati ya hao maana hauko tayari kuolewa na maandishi yako yana dhihirisha kabisa.

Maana aliyetayari kuolewa huwa anajua kabisa ataolewa na nani.

Nakushauri usiolewe kwa sasa na hakuna kati yao hao anaye kufaa maana mtu anaye kufaa uhitaji nguvu ya wengine kujua ana kufaha .
 
chuma chakavu, thubutu! Umezoea kugegeda ovyo, sio wote tunaogegedwa ovyo kama wewe unavyogegeda ovyo

Wanawake wanaosema hvyo huwa hamna kitu,ni rahisi ngamia kuingia kwenye tundu la sindano kuliko mwanamke mwenye kauli kama zako kumkataa mwanaume.
 
Hivi kuwa na urafiki na watu 3 ni lazima uwavulie chupi? au wewe mtu akikutaka tu na kukuambia anataka kukuoa basi unamvulia chupi? tatizo hapa watu wamekimbilia kwenye kugegeda badala ya kutoa ushauri. Huwezi kukurupuka tu kuolewa au kumuoa mtu bila kumjua so ni lazima muanze na urafiki, then uchumba mwisho ndio ndoa

Sasa Kama udogoni akuvishwa ata nepi iyo ngodha ataivalia wapi..!!!??
Hana ata mazoea kila Mtu ashazoea kumdandia
Sibora angekuwa mvaaji wa iyo Ngodha anaivaa basi..!!
 
My dear mimi49, siolewi kwa sababu ya kutafuta mali, mali nilizonazo zinanitosha sana, au kwa kuwa sikkuorodhesha hapo juu. Naomba unisome na kunielewa ninahitaji nini hasa. Kuhusu kuzaa sikuwa na plan ya kuzaa tena, sana sana labda niongeze mtoto mmoja
Huyo wa miaka 45 ukimkubali
ni kwasababu ana mafanikio ama?
  • Unapenda mteremko dada?....unataka ujistareheshe na jasho la mwanamke
    mwenzako mweee...
  • Eti nini uwe bi mdogo??
  • Kwa mantiki hio unakubali kuwa muislam uwe mke wa pili?
  • au unamaanisha uwe "HAWARA" yake?
  • Kwani we una msimamo gani kuhusu suala la kuzaa?
Kama unaweza kuliconsider inaonekana huyo wa miaka 38 anaweza kuwa
perfect match...Au achana na wote tafuta mwengine mfano mgane mlee
watoto wenu pamoja!!Wewe ndo muamuzi wa mwisho!!
 
Kati ya hao kuna unayempenda toka kumtima,make huwezi kuwa na upendo wa dhati kwa wote.
usidhurumu nafsi mpe nafasi unayempenda toka moyoni.
 
Back
Top Bottom