Elerai
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 474
- 139
Kabla sijakupa ushauri napenda kurejea katika biblia inasema "Watu wangu wanaangamia kwa kwa kukosa maarifa "amini usiamini kukosa maarifa ndo kumekufikisha hapa ulipo . Hapa watu watashauri bt remember maamuzi yako yatatoka moyoni mwako , hayo ndo yatleta effect kwenye maisha yako. Ukristo wako haujakusaidia hat kidogo ask why? Mbona neno la Mungu liko wazi jamani "Yasiyowezekana kwa wanadamu yanawezekana kwa Mungu" By the way nakulaumu wewe maana shetani alipoleta jaribu la kuachana na mumeo ukshindwa kumshinda shetan rejea huo mstar hapo nyuma , Ulidhani maaskofu na mahakimu wa nguvu ya kusuluhisha ndoa yako Ukaweka tumaini lako kwa wanadamu wenye moyo kama wako pole sana . Hukuweka muda kumtafuta Mungu akupe majib ya ndoa yako ?I SWEAR MY SISTER mistake kubwa ulifanya hapa ndo mana imeandika Mungu anackia kuachana .Ushauri wangu hutaupend coz sikushauri uolewe Nakushauri umrudie Mungu muulize habari ya mambo yajayo yanayokuhusu wewe na familia yako biblia iko wazi kuhusu kila kila kitu kuhusu mamb yako . Mshauri wa kweli ni Yesu Bwana hapa hakuna la maana .Ebu tumia ukristo wako vizuri mbona unamwaibisha kristo aliyekufa kwa ajil yako ili uokolewe .Never undermine the power of God uliza kwanz ka Mungu yeye ndo jibu la maisha yako huku utapotea soma biblia yako vizuri dada . Mungu ansema KUNA NENO GANI GUMU ASILOLIWEZA ? TAFAKARI