Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu

Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu

Kwanza na mshukuru Mungu kwa rehema na baraka mbali mbali anazonijalia katika maisha yangu kila iitwapo leo.

Wana-MMU ninakuja kwenu nikihitaji ushauri juu ya hili suala, kiukweli maisha ya upweke yamenichosha, hii ni baada ya kudivorce na aliyekuwa mume wangu 2007. Mimi ni mama nina watoto wawili, 36yrs, mkristo. Nina nyumba yangu mwenyewe na asset kadhaa, baada ya kuchoshwa na upweke nimeona ni wakati muafaka wa kupata mwenzi mwingine. Nayamudu maisha yangu vizuri tu tatizo ni huo upweke tu, so naombeni mnishauri kuhusu hawa watu hapa chini.

1. Huyu ni mkaka 38yrs hajawahi kuoa ila ana mtoto mmoja, ni mafanyabiashara lakini pia ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini. Ana kiwanja, hajajenga so anaishi nyumba ya kupanga, ameonesha nia ya dhati ya kutaka kuishi na mimi pamoja na watoto wangu ila atapenda pia nimzalie watoto wawili. Nikifikiria hapo pa kuzaa watoto wawili nachanganyikiwa kabisa

2. Huyu ni mkaka, 36yrs, hajawahi kuoa ila na mtoto mmoja, ni mwajiriwa kwenye NGO na anasoma online chuo kikuu kimoja huko marekani. Ndio kwanza ameanza ujenzi wa nyumba yake, ananipenda mimi na watoto wangu, nae anapenda Mungu akijalia nimzalie watoto wawili. Hapo kwenye kuzaa nachanganyikiwa lkn pia namuona bado ana ujana mwingi

3. Huyu ni baba, 45yrs, ana familia yake, ana mke na watoto 3, ameajiriwa ofisi ya mtu binafsi, ana nyumba kadhaa, ananipenda kwa dhati, anaipenda familia yangu sana na anajitoa kwa hali na mali, kama tukioana anapenda nimzalie mtoto mmoja tu. Naweza kumzalia mtoto mmoja kama Mungu atapenda, tatizo ni hiyo familia na dini, yeye ni muislam, so anataka mimi niwe bi mdogo

Ushauri wako please, ukiona haikuhusu tafadhali potezea

Hapo kila mmoja anazani yuko peke yake!! Wote hao wa kazi gani?
USITHUBUTU KUMWAMINI MWANAMKE.
Samahan lakini.
 
Kwanza nimegundua una mapungufu makubwa ya uadilifu. Kwa maelezo yako inaonekana wazi kuwa upo kwenye mahusiano haramu na hao jamaa watatu, aibu! Kwako kipaumbele ni nini katika maisha yako yaliyobaki? Unadhani mwanaume mwenye nyumba ndiye mume bora? Kati ya hao unampenda yupi?
 
Kuolewa sio solution ya matatizo yako ya upweke
Unaonekana una mvuto maana hapo tayari una wanaume watatu kwa mpigo sijahesabu wale unaowatolea nje kila siku

i think bora ulee watoto wako ila tafuta mwanaume asiyeweza kuzalisha ili umpe furaha ya kuwa baba
 
Kigezo kwako ni kazi, hela, nyumba, nk . Upendo huna au ndio 2% kwako? Achana na mme wa mtu, tafta wa wako (Umelikoroga lako, tena ulikoroge la wengine!! Ishiiiii).
 
Kwanza na mshukuru Mungu kwa rehema na baraka mbali mbali anazonijalia katika maisha yangu kila iitwapo leo.

Wana-MMU ninakuja kwenu nikihitaji ushauri juu ya hili suala, kiukweli maisha ya upweke yamenichosha, hii ni baada ya kudivorce na aliyekuwa mume wangu 2007. Mimi ni mama nina watoto wawili, 36yrs, mkristo. Nina nyumba yangu mwenyewe na asset kadhaa, baada ya kuchoshwa na upweke nimeona ni wakati muafaka wa kupata mwenzi mwingine. Nayamudu maisha yangu vizuri tu tatizo ni huo upweke tu, so naombeni mnishauri kuhusu hawa watu hapa chini.

1. Huyu ni mkaka 38yrs hajawahi kuoa ila ana mtoto mmoja, ni mafanyabiashara lakini pia ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini. Ana kiwanja, hajajenga so anaishi nyumba ya kupanga, ameonesha nia ya dhati ya kutaka kuishi na mimi pamoja na watoto wangu ila atapenda pia nimzalie watoto wawili. Nikifikiria hapo pa kuzaa watoto wawili nachanganyikiwa kabisa

2. Huyu ni mkaka, 36yrs, hajawahi kuoa ila na mtoto mmoja, ni mwajiriwa kwenye NGO na anasoma online chuo kikuu kimoja huko marekani. Ndio kwanza ameanza ujenzi wa nyumba yake, ananipenda mimi na watoto wangu, nae anapenda Mungu akijalia nimzalie watoto wawili. Hapo kwenye kuzaa nachanganyikiwa lkn pia namuona bado ana ujana mwingi

3. Huyu ni baba, 45yrs, ana familia yake, ana mke na watoto 3, ameajiriwa ofisi ya mtu binafsi, ana nyumba kadhaa, ananipenda kwa dhati, anaipenda familia yangu sana na anajitoa kwa hali na mali, kama tukioana anapenda nimzalie mtoto mmoja tu. Naweza kumzalia mtoto mmoja kama Mungu atapenda, tatizo ni hiyo familia na dini, yeye ni muislam, so anataka mimi niwe bi mdogo

Ushauri wako please, ukiona haikuhusu tafadhali potezea

Wote wanakukula??? just curious!
 
Ijapokuwa awali nilikusoma kuwa uko 36 yrs old nikasema vipi sasa mtu mzima anafuta ushauri, baada ya kusoma maelezo yako nikafahamu kuwa umetatizika mahala. Naelewa kuwa wote unawapenda sana maana kila moja kati ya hao watatu kuna mambo kwao yamekuvutia. Hata na hivyo madamu umeomba msaada wa dhati kutoka kwa wenzio, mimi naona yule wa mwisho No. 3 mwenye umri wa miaka 45 cv yake iko poa imekamilika. Hilo la kuwa ana familia nyengine sio tatizo.
 
ndoa n aman na upendo n co mali au umackini wa m2 ila ndoa bila maombi nixawa n kazi bure....muombe mungu atakuonesha yupi sahh kat y hao ukitumia macho y kibinadamu utaumia my ccta.
 
Mama naniliu kwa age uliyofikia dnt expect happieness toka kwa mwanaume jxt pray itokee bt isipotokea dnt regret..Hao wanaume wa3 wote wapo aftr mgegedo, kama bdo hawajapata..kwa age yako kuzaa ni jambo la kumuomba mungu pia.And bad z wote wanataka m/watoto..ushauri,kama una uwezo mzur wa kuwahudumia watoto wako, fanya hvyo..
note:upweke ukikuzidi chagua 1 uwe unampa friend match, usisahau condom..
Conclution:Usiweke mkataba ulio rasmi na yeyote.
 
nyie ndo mnaenda kuharibu ndoa na maisha ya watu, huna hata aibu unataka kuolewa na mbaba wa watu ache familia yake huko sababu yako? Si nawewe utafute wako ujitawale Sasa ya nini kupewa ratiba kwenye mapenzi?
Afu wewe si mtu mzima midume yote hiyo ya kazi gani mama wewe huyo wa familia yake muache tafadhali chukua hao walio baki
 
aisee...kama kweli basi maisha yapo complicated sana kwa watu wengine....angalia tu usikute unatembea nao wote...?
 
wa tatu ndo mpango mzma,hao wengne tupa kule.
 
Ushauri wangu ni kwa hao wanaume "nani ataweza fupa lilo mshinda fisi?" Piga mzigo sepa anapimia mtu tatu....
 
Back
Top Bottom