kijembeee JF-Expert Member Jun 6, 2012 409 105 Jun 8, 2012 #1 ata cjui nianze na kipi nimalize na kipi,maushauriz wajameni...........
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Jun 8, 2012 #2 utapiga kazi bila kusoma? nakushauri OA!
Suzie JF-Expert Member May 7, 2010 1,259 409 Jun 8, 2012 #4 Ukikua utajua nini cha kuanza, sasa hivi naona ungo wa kiume unakusumbua, tumia sabuni
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,664 Jun 8, 2012 #5 Mtaka yote kwa pupa..........
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,020 Jun 8, 2012 #7 Kwani ukioa huwezi kufanya kazi au kusoma? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mtotowamjini JF-Expert Member Apr 23, 2012 4,526 1,169 Jun 8, 2012 #10 ukioa bila kazi hutaweza mtunza mkeo, itakua ngumu kufanya kazi bila kusoma so nakushauri usome, upate kazi then uoe
ukioa bila kazi hutaweza mtunza mkeo, itakua ngumu kufanya kazi bila kusoma so nakushauri usome, upate kazi then uoe
Ndechumia JF-Expert Member Jul 15, 2011 1,103 418 Jun 8, 2012 #11 soma ili upate kaz nzuri zen utampata mke umpendae coz utakuwa KISU
Ruhazwe JR JF-Expert Member Jan 31, 2011 3,403 920 Jun 8, 2012 #12 mkubwa! Fanya vyote kwa wakati mmoja,possible.....ni wewe tu!
Ruhazwe JR JF-Expert Member Jan 31, 2011 3,403 920 Jun 8, 2012 #13 charminglady said: oa,piga kaz thn soma! Click to expand... hujambo wewe lakini?
Fixed Point JF-Expert Member Sep 30, 2009 11,304 12,744 Jun 8, 2012 #14 Baba V said: utapiga kazi bila kusoma? nakushauri OA! Click to expand... Nimependa ushauri wako Baba V, maana kuoa inawezekana hata kama hujui a Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: utapiga kazi bila kusoma? nakushauri OA! Click to expand... Nimependa ushauri wako Baba V, maana kuoa inawezekana hata kama hujui a
Amyner JF-Expert Member Jul 13, 2011 2,397 877 Jun 8, 2012 #15 leloch said: njoo kwe2 kmara utajua cha kuanza... Click to expand... lol. Kimara kuna nini kwani?
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,593 52,284 Jun 8, 2012 #16 Amkia wakubwa zako kwanza dogo.
kijembeee JF-Expert Member Jun 6, 2012 409 105 Jun 8, 2012 Thread starter #18 ww utakua jinias,ss cjui utansaidia kulisha familia
kijembeee JF-Expert Member Jun 6, 2012 409 105 Jun 8, 2012 Thread starter #20 siku nyingne unaweza ukapata yote