issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,743
- 12,370
Umefunga pm mama antoassBaba Antipas, hujanizidi lakini ☺️
Umefunga pm mama antoassBaba Antipas, hujanizidi lakini ☺️
Acha kiburi we mpare!I will, sema kuna watu katika hali ya kawaida ukimtafuta sana anajiona amefika sana!!
Tuonane J3, naenda kupumzisha akili. Nikirudi nataka majibu.Atoto sio dada yangu, ni my love wangu. Mbona unanichomea utambi...kumbe una roho mbaya 😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kiukweli namisi kupunguza uzito,tangu nimeachana na babe wangu pombe ni upwiru wa kijinga jinga tu
Shindii nicheke tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa si umeamua kutuchekesha!Shindii nicheke tu
Upwiru shindiii 😅Sasa si umeamua kutuchekesha!
Kilo zenyewe unazo za pamba, unataka upunguze nini tena🙆♂️
Shindii nchi huru hii. Jichukulie sheria mkononi🤣🤣Upwiru shindiii 😅
Shindii huko hapana nataka mmatumbi mwenzangu mmoja tubadiliahane joto😁Shindii nchi huru hii. Jichukulie sheria mkononi🤣🤣
Njoo nikupe koneksheni ya mama claree🤣🤣🤣Shindii huko hapana nataka mmatumbi mwenzangu mmoja tubadiliahane joto😁
Nimeshajua, na ole wako...ukirudi usiongee na mimi.Tuonane J3, naenda kupumzisha akili. Nikirudi nataka majibu.
🤣🤣🤣🤣🤣 sasa niongee na masufuria au?🙆♂️Nimeshajua, na ole wako...ukirudi usiongee na mimi.
Utatafuta wa kuongea nae nakuambia!!🤣🤣🤣🤣🤣 sasa niongee na masufuria au?🙆♂️
Aaah we! Kuongea tutaongea tu maana hamna namna. Ikishindikana namtuma kiboko yako🤣Utatafuta wa kuongea nae nakuambia!!
😅😅😅😅dah haya bwanaAaah we! Kuongea tutaongea tu maana hamna namna. Ikishindikana namtuma kiboko yako🤣
YesuuNjoo nikupe koneksheni ya mama claree🤣🤣🤣
Fanya chaaaap!Yesuu