Nini unakimiss usiku wa leo?

Nini unakimiss usiku wa leo?

Sana, ila unawezaje kubadili wanaume kiasi hicho?
How about idadi ya wanaume ambao hawakumuoa? kama kwenye ndoa tu tayari ana sita.
Nadhani huwa anaingia ndoani kimaslahi na siyo ili akatulie atengeneze familia.

Hizo ndoa za kiislamu mimi ndiyo maana sizipendagi maana muda wowote mkichokana mnaachana tu hata ukitamkiwa tuachane nasikia ndiyo talaka hiyo
 
Ohoooo.. nyanya chungu a.k.a ngonwe nzuri sana hizi pia kwa watoto wa kike teh teh... na kwa wanaume nasikia

Akuuuu, uzinzi dhambi 🏃🏃🏃
Dhambi tena mbaya mno! Hizo nyanya chungu nakula sana sijaona lolote ni uzushi tu😏
 
Dhambi tena mbaya mno! Hizo nyanya chungu nakuoa sana sijaona lolote ni uzushi tu😏
😁😁 dambi , mie ndio maana sifanyagi naogopa kuchomwa moto

nyanya chungu kube uzushii eeh! Mnaona nyie ma expert mnajua mambo kuliko sie wapendwa
 
😁😁 dambi , mie ndio maana sifanyagi naogopa kuchomwa moto

nyanya chungu kube uzushii eeh! Mnaona nyie ma expert mnajua mambo kuliko sie wapendwa
Wapendwa wa Bwana! Poleni hakuna cha nynya ntole au nyanya chungu kila mtu na maumbile yake bwana
 
Siku ukianza mechi utaijua thamani ya ngogwe na bamia! Saivi tuendelee an mikesha na ibada kila siku😅
Huku ndo mboga zetu kula dagaa lazima uweke hizi vitu, nikianza ntaleta mrejesho!
Saizi acha tukeshe tukiombea kupata wame wema🥲
 
Nadhani huwa anaingia ndoani kimaslahi na siyo ili akatulie atengeneze familia.

Hizo ndoa za kiislamu mimi ndiyo maana sizipendagi maana muda wowote mkichokana mnaachana tu hata ukitamkiwa tuachane nasikia ndiyo talaka hiyo
Inasikitisha sana, na ni kweli ndoa za kiislamu talaka nje nje, angekua mkristo basi kufuatilia talaka yenyewe tu miaka 6 😅
 
Back
Top Bottom