makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,989
- 104,483
Kwamba!!? 🤔Shindii lete hela, upwiru utakuua.
Kwamba!!? 🤔Shindii lete hela, upwiru utakuua.
Malisafi, hutaki kugaiwa kwangu 🤣Mbona unanigawa hivyo kama pilau la msibani 🤣😂
Pole mwaya 🫂Nimemmiss shemeji yenu 🥹
Hayo ndiyo maneno sasa 😂😂😂Basi chukua makaveli10
Najiuliza hajui km sina nguvu za kiume ana kutafuta kudhalilishana tu 🤣😂😂Malisafi, hutaki kugaiwa kwangu 🤣
Sasa kama nyumbani umegoma kurudi si bora nikugawe tu🙆♂️Mbona unanigawa hivyo kama pilau la msibani 🤣😂
Nimemiss ile life ya kulala peke yangu....Nikiandika ninachokimiss kwa wakati huu na hizi akili za usiku, uzi hautapitishwa na moderators.
Nimewamiss wote, harakati za uchaguzi zimeniweka mbali na JF.
View attachment 3492008
Vipi wenzangu mnamiss nini?
Babe tulia, mimi dalali tu. Na ukichelewa kurudi hadi tv natafutia mteja.Kwamba!!? 🤔
Samahani, mie bado kijana mdogo, naulinda UVULANA wangu, mpaka nitakapooa.Babe tulia, mimi dalali tu. Na ukichelewa kurudi hadi tv natafutia mteja.
Nitawashukuru sana😋Haya njoo tukupe tiba, mbona tatizo dogo tu hilo 😅😅😅 tutakuchangia na Lamomy utapona 😉
Hayo ni matumizi mabaya ya ulinzi. Nenda kaklilinde Taifa, majambazi ya ccm yanaigawana tu.Samahani, mie bado kijana mdogo, naulinda UVULANA wangu, mpaka nitakapooa.
Tarehe 29 utauonq UBAYA UBWELA WANGUHayo ni matumizi mabaya ya ulinzi. Nenda kaklilinde Taifa, majambazi ya ccm yanaigawana tu.
Sawa, ngoja tujiandaeNitawashukuru sana😋
🤣😂
Nyie fanyeni maandalizi mie nawasubiri muda wowote, mpira kati.Sawa, ngoja tujiandae
😹😹😹Na ulinzi umekushinda, Maka ana miezi miwili hayupo nyumbani🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ukikosa kwa Atoto nitakulipa mwenyewe kwani sh ngapi..😹😹😹
Jamani doria imenishinda sa itakuwaje boss wangu?
Wee makaveli10 unanitakia nini lakini mwenzio? 😥
Nikikosa salary kwa atoto utanilipa wewe au huo mchepuko wako uliokuficha mwezi mzima..!! 😹😹😹