Nini unakimiss usiku wa leo?

Nini unakimiss usiku wa leo?

Kiukweli namisi kupunguza uzito,tangu nimeachana na babe wangu pombe ni upwiru wa kijinga jinga tu
Khaaa nimepitwa na mengi, imekuwaje umeacha pombe 😳 🤔 ?
Mangi, upwiru unakutesaje tena? unakwama wapi?
 
Labda chako ndo kitakua kitamu unipe nionje, siyo hivi vya uswahilini wanafungasha na magazeti vimenishinda tabia.
Ndiyo kusema nimejichanganya 😅😅

Awkward Season 1 GIF by The Roku Channel.gif
 
Inasikitisha sana, na ni kweli ndoa za kiislamu talaka nje nje, angekua mkristo basi kufuatilia talaka yenyewe tu miaka 6 😅
Na kwanza huruhusiwi kuoa au kuolewa mpaka mwenzio afariki, ndoa za kiislamu za kitapeli kuna baadhi ya wanaume mwezi wa Ramadan ukikaribia wanaoa ili wawe wanapikiwa futari mwezi ukiisha wanatoa talaka, si utapeli huo
 
Back
Top Bottom