Nini unakimiss usiku wa leo?

Nini unakimiss usiku wa leo?

Mzee mmoja huko tiktok na Instagram anaongeaga kila jambo analoona haliko sawa, juzi ilikuwa zamu ya Zaiylisa akamsema mtoto mdogo wa miaka 26 ana ndoa 6 huo ni um*aly na mwishoni anamaliziaga kwa kusema nachoka mimi baba yenu Clemence Mwandambo 😂😂
Hivi huyu mzee huwa ana mke kabisa🤦🏽‍♀️
 
Mimi hizo nyimbo zako mzuka haupandi🤦🏽‍♀️
Naomba chapati basi 😊😊

Basi huu sikiza dk moya tu alafu uniambie... unapendeza sanaa, kama hiyo haipandi 😎
 
Ni kweli. Kama ni mtu wa hivyo mpotezee maana utaishia kuumia bure.
Ilishanitokea nikaumia sana kwa mtu flani ambae nilimkubali sana kama rafiki lakini niliona kabisa kwamba nalazimisha mawasiliano, niliumia kwa muda mrefu ila sasa nashukuru maana nimeshapona simkumbuki tena na najishangaa kwanini nilikuwa na kiherehere cha kumtafuta😀.
Story of my life🤦🏽‍♀️ Kiburi nilikuwa nacho aisee si eti huyo mtu nikawa namtafuta mimi tu! Mwee sahivi mwaka sifanyi hii kazi akinitext namjibu kama naumia vidole🤭 ni kunata hatari!
 
Leo sijapika😂 jana mvua ilikuwa kubwa nikaona tu nipike kutoka nje siwezi.. leo ni ugali tu hakuna bf!

Kawimbo ni katamu balaa😍 haka umeniokotamo😆
Aloo.. Mvua tenaa 🙄🙄
Unakula ugali wa uwele au dona na uji kama mie hapa asubuhi asubuhi tumboo ndiii

Hako kawimbo huku romance kama kibabeee eeh.. yani french kiss 😎😎
ila matusi yana raha yake jamanii..
 
Ni kweli. Kama ni mtu wa hivyo mpotezee maana utaishia kuumia bure.
Ilishanitokea nikaumia sana kwa mtu flani ambae nilimkubali sana kama rafiki lakini niliona kabisa kwamba nalazimisha mawasiliano, niliumia kwa muda mrefu ila sasa nashukuru maana nimeshapona simkumbuki tena na najishangaa kwanini nilikuwa na kiherehere cha kumtafuta😀.
Asante kwa kunielewa!!😅😅😅
 
Back
Top Bottom