Nini unakimiss usiku wa leo?

Nini unakimiss usiku wa leo?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,131
Reaction score
33,900
Nikiandika ninachokimiss kwa wakati huu na hizi akili za usiku, uzi hautapitishwa na moderators.

Nimewamiss wote, harakati za uchaguzi zimeniweka mbali na JF.

GIF by HBO Max.gif


Vipi wenzangu mnamiss nini?
 
Back
Top Bottom