Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,901
- 27,628
- Thread starter
- #201
Hawacheki na mtu 😎😎😎😎 Na sasa hivi ukijichanganya, hadi November ndio wanakutoa.
Hawacheki na mtu 😎😎😎😎 Na sasa hivi ukijichanganya, hadi November ndio wanakutoa.
😅😅 Ukishajua hivyo, ni kujikaria pembeni.. kimbunga kipiteHawacheki na mtu 😎
Hapo nimeelewa, hongera zao waliobarikiwa na hizo neema 😅Mbaga Jr umemaliza kazi Binti wa zamani hapo veepe
Kabisa 😅 hayo mambo sijui ya hela za vocha mara za kusuka, wamebaki nazo hao mabinti wa alfu mbili unaowapendaga wewe 🤣😅😅😅😅.. nyie wazee mambo yenu mazito sana. Hamkawii sema baba nikatie Daraja la juu kabisa la KLM wataka enda pumzika pale Brussels...
😅😅 wa tiketi za KLM na kupumzika Brussels.. Siwawezi, bora hawa wa chipsi kiepe yai japo hawana utamu kama nyieKabisa 😅 hayo mambo sijui ya hela za vocha mara za kusuka, wamebaki nazo hao mabinti wa alfu mbili unaowapendaga wewe 🤣
Sawa, pambana na hali yako 😅😎😅😅 wa tiketi za KLM na kupumzika Brussels.. Siwawezi, bora hawa wa chipsi kiepe yai japo hawana utamu kama nyie
Sawa, pambana na hali yako 😅😎
Kwa mwanaume hamna maumivu, inakufanya mwanaume unakuwa sooo energetic and active!Pole, maumivu ya upwiru nayajua 😎 😅
This lesson comes in a hard way maana nyeto is soo tempting.Kumbe utimamu upo
Tulia dawa ikuingie haste hasteMsigwa ni Nani huyo nnaempigia Doria Sasa ?
Msigwa unayapika waziwazi chief. Simba hanyatiwi Msigwa.
Fikisha salamuNimemiss afya njema..
Unazua Taharuki.Tulia dawa ikuingie haste haste
Call herKuna dada/rafiki nimemmiss, just that!
I will, sema kuna watu katika hali ya kawaida ukimtafuta sana anajiona amefika sana!!Call her
Ni kweli. Kama ni mtu wa hivyo mpotezee maana utaishia kuumia bure.I will, sema kuna watu katika hali ya kawaida ukimtafuta sana anajiona amefika sana!!
Najifunza dadaake sitaki kupitwa na ya dunia😂Kijana mlokole kama kawaida yako lazima utie timu 🤭
😄 Leo uhakika utamuonaFikisha salamu
Ila wewe jamani 🙆🏽♀️Ngoja nitoke kutembea mitaa yangu na ka 🎧
View attachment 3492059
Kukojozwa sana, maji yatakuishia mwilini 😎