Nini unakimiss usiku wa leo?

Nini unakimiss usiku wa leo?

Kule ni kisu no gazi. Mbaga Jr leta ushuhudah

Inakuwa na vichwa viwili hatar
Confused Rooster Teeth GIF by Achievement Hunter.gif
 
Vingi sana ila kikubwa ni kuwa dosho12 kajitolea kukaa mstari wa mbele siku ya maandamano
Daaah, afiche tu sura hiyo isiharibike maana najua atachakazwa hatorudia tena.
Kwahiyo mtafutie nyapu ya mwisho mwisho ya kuichapa kabla ajajitoa muhanga 😂😂😂
Tayari niko nampambania hapa, apate hata wa kumuhurumia.
 
It's true mambo yamebadilika sana.
Lakini pia wanaume wengi hawana misingi ya kujenga familia kama ile ambayo sisi tuliexperience zamani, so mabinti wa sasa nao wanawachukulia kama sehemu ya kujinufaisha tu.
hiki ndio kina nikera kishenzi, Siku hizi kupata sex partner ni cheap. na kuliko kuchoma nyama ya mbuzi.

uliza body count's zao ni bus la bm coach!, hakuna honest waka privacy kabisa.

na hivi sipendi watu waongo!
 
hiki ndio kina nikera kishenzi, Siku hizi kupata sex partner ni cheap. na kuliko kuchoma nyama ya mbuzi.

uliza body count's zao ni bus la bm coach!, hakuna honest waka privacy kabisa.

na hivi sipendi watu waongo!
Ni kweli, hawajali nani wanampa na kwanini wanatoa miili yao.
Nafikiri hii ni kwa wote wanaume na wanawake, it's sad to see!
 
Back
Top Bottom