Nini unakimiss usiku wa leo?

Nini unakimiss usiku wa leo?

I miss the young me, back in the days siku hitaji chochote kikubwa just ilikuwa wali maharage na channel ya hbo, zee cinema au star gold.

Baada ya siku ndefu jioni ninge tulia kuangalia mieleka, huku niki subiri msosi alio pika mama.

The young me sikuwa na stress za hiki au kile, just being me.
When life was simple, pole kwa kumiss your old life.
 
Back
Top Bottom