Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,395
- 96,704
Iangalie, Cena ali deliver a master class performance.Hii ya juzi ya cena na Aj style kwenye crown jewel sijaicheki
Iangalie, Cena ali deliver a master class performance.Hii ya juzi ya cena na Aj style kwenye crown jewel sijaicheki
Kwamba ina maajabu gani?Usiogope ukija test huachi nimekaa pale
Haya yote umeyajuaje? au ni wewe unao huo ukuni double cabin?Ina depend na style mnayotumia kubagazana
Ahah acha Depal anajuaKwamba ina maajabu gani?
Nimehabarishwa kuna watu wana pipi mbili kwenye kifungashio kimoja, sasa nyie wenye pipi moja mmeshakua zilipendwa 😅😅😅 sawa toto zuriii
Nikuletee pipi ya kijiti au pipi ya kirungu
Au bac 😂😂Haya yote umeyajuaje? au ni wewe unao huo ukuni double cabin?
😅😅 hongera zao, uzuri sina nguvu zozote za kufanya matusi, na kadudu kamepoteamo ndani.Nimehabarishwa kuna watu wana pipi mbili kwenye kifungashio kimoja, sasa nyie wenye pipi moja mmeshakua zilipendwa 😅
Sawa mkaka bikra😅😅 hongera zao, uzuri sina nguvu zozote za kufanya matusi, na kadudu kamepoteamo ndani.
Ngoja wenye doria zao wakukute wahisi ni kibaka 😅Enjoy mtoto mzuri. Natembea road hapa.. kama nipo doria
Nikupe lina number ulipe nikutumie pmHaya yote umeyajuaje? au ni wewe unao huo ukuni double cabin?
Nyoosha maelezo 😅Au bac 😂😂
😎😎😎 Na sasa hivi ukijichanganya, hadi November ndio wanakutoa.Sawa mkaka bikra
Ngoja wenye doria zao wakukute wahisi ni kibaka 😅
Sasa unataka waaza kunitafuta ety double cabin deal wataniuwaNyoosha maelezo 😅
Umemshamsikia Clemence Mwandambo akimsema Zaiylisa?cocastic na kiss ov love - Nini kimenipita humu ndani?
Kusema ule ukweli mimi nimemiss mizagamuano tu😎😝Nikiandika ninachokimiss kwa wakati huu na hizi akili za usiku, uzi hautapitishwa na moderators.
Nimewamiss wote, harakati za uchaguzi zimeniweka mbali na JF.
View attachment 3492008
Vipi wenzangu mnamiss nini?
Hapana, ndiyo nani tena huyo?Umemshamsikia Clemence Mwandambo akimsema Zaiylisa?
Shukrani sana, shukrani za dhati🙏.Kaka Elli, pole sana 🫂 shida ni nini tena?
dosho12
Mungu akupe nini tena?