Nini ufanye kama mtu uliye naye kafariki ghafla?

Nadhani ukiruka ndugu zako na uongozi wa mtaa au majirani ukaenda moja kwa moja polisi lazima msala utakua kwako,,inabidi uanze kutoa taarifa kwa majirani,,ndugu na uongozi wa mtaa.
 
Swali ni amekufa katika mazingira gani, alikuwa mgonjwa au ghafla?

Kama ni nyumbani na kifo ni cha asili.
1. Vuta pumzi nzito, shukuru Mungu kwa kilichotokea.
2. Fanya umuweke marehemu vizuri kama amekufa katika hali isiyo ya kawaida, huenda hakufumba macho, alijisaidia nk. Muweke vizuri, valisha nguo nzuri.
3. Pigia simu ndugu zako wa karibu wape taarifa.
4. Piga simu kwa jirani, mpe taarifa aje kukupa msaada.
5. Mpelekeni marehemu mochwari na taratibu nyingine zitafuata huko.
Umemaliza mkuu,umejibu kiislamu,sidhani kama wengine watakuelewa,ulivojibu ndivyo itakiwavyo.
 
Swali ni amekufa katika mazingira gani, alikuwa mgonjwa au ghafla?

Kama ni nyumbani na kifo ni cha asili.
1. Vuta pumzi nzito, shukuru Mungu kwa kilichotokea.
2. Fanya umuweke marehemu vizuri kama amekufa katika hali isiyo ya kawaida, huenda hakufumba macho, alijisaidia nk. Muweke vizuri, valisha nguo nzuri.
3. Pigia simu ndugu zako wa karibu wape taarifa.
4. Piga simu kwa jirani, mpe taarifa aje kukupa msaada.
5. Mpelekeni marehemu mochwari na taratibu nyingine zitafuata huko.
uoongozi wa mtaa na polisi hawahusiki? si unajua jamaa hawana jambo dogo hata kama iwe ni kifo cha kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom