Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

Waziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary.

Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba.

Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
Yaani Wizara zote za Fedha na Uchumi kwa Tanzania Bara na Visiwani zipo chini ya Wazanzibari, hadi raha Sheikh
 
Ila Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika ni sawa? Wewe ni mkoloni haswa. Endelea tu.
Zanzibar haiwez kuwa koloni la tanganyika maana yenyew kwenye huu muungano uchwara imeingia lakin ipo na serikali yake ambayo haingiliwi na muungano lakin tanganyika inaingiliwa na wazanzibar umeelewa hapo
 
Wakati wazanzibar wakiuliwa kwa mwamvuli huu wa muungano watanganyika aka machogo mlijiona mpo safe kwa vile hamkutarajia ipo siku mambo yatageuka,kaeni kwa kutulia saiv ndio mtajua au hamjui.
 
Majibu utakuja kuyaona muda si mrefu pale Zanzibar itakapogeuka kuwa Dubai kupitia kodi zetu Watanganyika.

Nyerere katika hili, kwa kweli hukututendea haki Watanganyika wenzako. Maana wewe ndiye uliyetuletea muungano, katiba mbovu ya 1977, na hii ccm yako iliyotekwa na wahuni.
Kweli kabisa, haya yote ni baba wa taifa kasababisha. Afutwe kwenye historia, au kama ni kukumbukwa. Akumbukwe huko na kina Idi Amini.

Kiongozi uchwara kabisa, baba mzazi wa uchawa.
 
Hakukua na uchaguzi tubaki humo hizo sarakasi zao hatuzitambui
 
Deliberate violation of the constitution of the United Republic of Tanzania
Hii ndiyo faida sasa ya kuwa na common sense! Kuna wenzako huwa wanasifia tu kila kitu, hata pale ubabishaji unapotawala!

Imagine kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 60 unamchagua mtoto wako na bwana yake kuwa Mawaziri!! Bado kuna idara kibao nyeti za serikali kawajaza Wazanzibari wenzake! Halafu kuna watu wanaendelea tu kumchekea huyu nyoka mwenye sumu kali.
 
Safari hii Wazanzibar wamepania. Hapo labda mje na Grader kuwatoa. Wataenda kukopa hata Uarabuni.
Na ndiko hela nyingi zinakotoka hata kama OIC waliikataa lakini naona mtajiunga rasmi sasa au mmo kiaina
 
Hii ni tofauti na sasa, jk hakuwa mzanzibar kama ilivyo samuya leo
Ndio maana tunataka katiba mpya,,,katiba ya sasa haimzuii rais kuteua mbunge anaetoka Zanzibar kuwa waziri kwenye wizara yoyote hata kama wizara husika sio ya muungano, ila katiba ya zanzibar ili uwe waziri kule unatakiwa uwe mzanzibar mzawa.
 
Kimsingi mawaziri toka Zanzibar ni wengi, ratio haiko sawa ratio haipo sawa.kweli

Karibia 80 percent ya mawaziri wanatoka bara na kama 20 wanatoka visiwani

Ni kweli ratio haipo sawa hebu piga mahesabu hapo ratio ipi ni kubwa
 

Attachments

  • 1763462184618.jpg
    1763462184618.jpg
    59.1 KB · Views: 18
  • 1763462179976.jpg
    1763462179976.jpg
    59.1 KB · Views: 19
  • 1763462170328.jpg
    1763462170328.jpg
    59.1 KB · Views: 17
  • 1763462175464.jpg
    1763462175464.jpg
    36.6 KB · Views: 17
Zanzibar haiwez kuwa koloni la tanganyika maana yenyew kwenye huu muungano uchwara imeingia lakin ipo na serikali yake ambayo haingiliwi na muungano lakin tanganyika inaingiliwa na wazanzibar umeelewa hapo
Mimi nimezungumzia jee Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika ni sawa? Sijapata jawabu kutoka kwako. Ni wapi Tanganyika imeingiliwa na Wazanzibari? Wazanzibari wapo kama raia wa Tanzania kama ilivyo kwa wale wanaojiita Watanganyika na Tanganyika yenyewe imeondolewa na Watanganyika wenyewe kitambo, sasa wanalalamika kwa kuwa rais anatoka Zanzibar lkn akitokea Tanganyika kimya! Nani kakudanganya kwamba Tanzania iongozwe na Watanganyika tu? Mulipokuwa munapigania kuunganisha kijinchi kidogo na lijinchi kubwa hamukuliona hili? Sasa hili lipo nyinyi endeleeni kulialia uongo tu. Nasi tupo.
 
Back
Top Bottom