Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,295
Tumekoma na hili halitajirudia tenaMimi nimezungumzia jee Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika ni sawa? Sijapata jawabu kutoka kwako. Ni wapi Tanganyika imeingiliwa na Wazanzibari? Wazanzibari wapo kama raia wa Tanzania kama ilivyo kwa wale wanaojiita Watanganyika na Tanganyika yenyewe imeondolewa na Watanganyika wenyewe kitambo, sasa wanalalamika kwa kuwa rais anatoka Zanzibar lkn akitokea Tanganyika kimya! Nani kakudanganya kwamba Tanzania iongozwe na Watanganyika tu? Mulipokuwa munapigania kuunganisha kijinchi kidogo na lijinchi kubwa hamukuliona hili? Sasa hili lipo nyinyi endeleeni kulialia uongo tu. Nasi tupo.