Wizara ya fedha ni SULA LA MUUNGANO?Waziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary.
Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
Kweli kabisa. Harafu mijitu mitanganyika inafurahia tu kutawaliwa na ka nchi ambako hata akafikii ukubwa wa mkoa wa MaraIla ni ujinga wa hali ya juu,watanganyika kuwa koloni la mzanzibar
Afu mbaya zaidi siyo kwamba wana IQ kubwa kutuzidKweli kabisa. Harafu mijitu mitanganyika inafurahia tu kutawaliwa na ka nchi ambako hata akafikii ukubwa wa mkoa wa Mara
Inaonekana unateseka dada...Mbona leo umeshsuka sana binti?
Naona kama unapigana na kasi ya upepo!
Wel mwigulu ndoto yale ya urais imeshapita kushotoWaziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary.
Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
Wanaongoza Wizara wanaongoza TRA D9 tusipotoka ndio basi tenaWaziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary.
Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
Ulitaka awe nani kama hukumchagua?Waziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary.
Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
Ila Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika ni sawa? Wewe ni mkoloni haswa. Endelea tu.Ila ni ujinga wa hali ya juu,watanganyika kuwa koloni la mzanzibar
Humu mko wengi ambao vichwani mna mavi badala ya akili. Hujui kuwa Saada Mkuya alikuwa waziri wa fedha kipindi cha JK? Hizo simu zenu ni za kuangalia porn tu?Mtaje
Uongowakati wa Kikwete hiyo wizara pia ilikua inaongozwa na Mzanzibar,,,tafsiri ni kama ameteuliwa kwa mujibu wa katiba sheria na uwezo haina shida
Ni wangapi? Wataje kwa majina tuwajue. Ratio iliyo sawa ni ipi?Kimsingi mawaziri toka Zanzibar ni wengi, ratio haiko sawa hata kidogo.
Hili ni kuuliza?Wizara ya fedha ni SULA LA MUUNGANO?
Saada Mkuya, kipenzi changu!Mtaje
Hivi ni halali nchi kubwa mkoloni kwa nchi ndogo? Ndio sasa naona kwamba kuna watu ni wajinga wa mambo (ignorants) halafu wanajifanya wanajua sana. Empty headed.Kweli kabisa. Harafu mijitu mitanganyika inafurahia tu kutawaliwa na ka nchi ambako hata akafikii ukubwa wa mkoa wa Mara