Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

Hakuwahi kudhani kwamba kuna siku Mzanzibar ataongoza URT kwa sababu namba za voters hazikubaliani na logic hio. So yeye alidhani ni "smart" and strategic thing to do. Asichojua ni kuwa unaweza usipigiwe kura kabisa na bado ukatangazwa na 98%win. We are all fucked
Siyo kweli,alijua mzanzibar ataongoza tu urt sababu zamu lazima ingekuwepo
 
Ila ni ujinga wa hali ya juu,watanganyika kuwa koloni la mzanzibar
Nyie machawa na watetezi wa huyu shetani na mdhalimu si ndio mnapenda hivi? Kikubwa tu awaachie mianya ya upigaji..!!? Mlitaka raisia mbaye sio mfuatiliaji na asijifanye mzalendo..!

Haya sasa huyu hapa anajipanga kuwakamua hasa mpaka mbaki skeleton kiasi kwamba mpaka hata hivyo visenti mnavyopata kwenye upigaji mvione havina maana.
 
wakati wa Kikwete hiyo wizara pia ilikua inaongozwa na Mzanzibar,,,tafsiri ni kama ameteuliwa kwa mujibu wa katiba sheria na uwezo haina shida
Nini kigezo cha kuwa waziri zaidi ya kuwa mbunge? Ndio maana Mchengerwa ni waziri wa afya, Kabudi bingwa wa sheria alikuwa waziri wa michezo.

Hizi ni nafasi za kisiasa tu ingawa impact yake ni kubwa sana.
 
Kimsingi mawaziri toka Zanzibar ni wengi, ratio haiko sawa hata kidogo.
Haiko sawa kulinganisha na wengine kutoka wapi? Ukisema Tanzania, Zenji iko sehemu ya TZ, ukisema Tanganyika haijulikani iko wapi?

Ndio maana Katiba mpya inahitajika kurekebisha huu muungano wa nchi mbili, ila moja haionekani.
 
Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania = (Tanganyika + Zanzibar). Wizara ya Fedha ya JMT, ilishaongozwa na Watanzania wenye asili ya Tanganyika miaka mingi huko nyuma, sasa hivi Waziri ana asili ya Zanzibar tusiwe na mtazamo hasi tumpe muda afanye kazi, na apimwe kwa utendaji wake na si Uzanzibari wake. Muda ni Hakimu mzuri. Nimtakie kila la kheri.🙏
 
Back
Top Bottom