Nini sababu ya Mwanaume kupelekeshwa na Mwanamke na asiongee chochote?

Wanaume wenzangu niwajulishe kitu kwa hawa wanawake wa kizazi hiki ambao mnawaona wakati wa kufunga ndoa wanakusanyika na kumshauli bibi harusi ,unajua wanamshauri nini ? Mashauri yenyewe ndo haya

1.Pesa ya mwanaume ni ya familia ya mwanamke ni yake pekee 2.Hakikisha unamjali mmeo lakini usimpende ila muheshimu ila sio kumtii kivile.

3.hakikisha una mtu wa pembeni ili yakiharibika unapaku kujificha (wanamalizia na kusema wanaume hawatabiliki)

4.hakikisha unampelekesha kisawasawa hata akikuacha usijutie.

5.hakikisha unamiradi ya vitega uchumi pembeni na mmeo mtarajiwa asijuwe vitakusaidia siku mambo yakibuma yatusaidia. Haya maagizo ni ya siri sana tena mimi mwenyewe ni mfukunyua dada mmoja kungwi ndo amenitajia.

Yani kiufupi wanawake wengi wao wanaingia kwenye ndoa kivita zaidi ndo mana unaona wanaume wakipelekeshwa hivo .

Ushauri wanaume tafuteni wanawake wanawo wapenda na wenye hofu ya mungu mbona wapo.hawa wengine wemejaa visasi na mawazo mabaya juu ya wanaume usijechichanganya ukaoa mmoja wao hayo ya mleta mada lazima yakuhusu.pia na sisi tuache kuchezea shilingi chooni.
Wasipo kusikiliza hapa.... Basi tuanze kuchimba makaburi na kutengeneza majeneza ya kiukweli
 
Ujentromeni na u nice guy ndio chanzo kikuu.... Bora uonekane Mwanaume flani Hivi jeuri, bandidu like you don't care.... Nakuapia utaishi life lako to the maximumu

Ujentromeni na u nice guy ndio chanzo kikuu.... Bora uonekane Mwanaume flani Hivi jeuri, bandidu like you don't care.... Nakuapia utaishi life lako to the maximum
Mkuu huu ni ukweli mtupu ila kwa wanaume wanaongalia sana tamthiliya za kifiripino wanabisha hadi wanakaza matako,utawasikia mwanamke hapigwi,sijui mwanamke akichepuka sijui wewe ndo umefanya achepuke yani wanaume wenzetu wa staili hii kuwasikiliza inakera aisee 👿😈😬
 
Back
Top Bottom